Bado upo Kigoma?Mawazo ya mtu aliekufa yakiwa yanishi ni hai kuliko watu hai wenye mawazo mfu Kama mleta mada.
Mkuu daima Mungu yupo kazini jaribu kujiuliza dunia kwa sasa ina watu billion ngapi?Hiyo ilkuws bahati tu mkuu,
Cameron, Gabon, Equatorial Guinea, Uganda, Myanmar, Zimbabwe na sehemu nyingine nyingi sana nao wanaomba pia ila wako na watesi wao kwa miongo hadi nusu karne sasa.
Watarudi uongozini wote uliowataja kwa sababu watahitajika 2025 kuipa CCM Ushindi wa 100%Fungua uzi unaomhusu Kasesela
Mbowe: Tutaendelea na Maridhiano hata ikichukua miaka 10Hiyo ilkuws bahati tu mkuu,
Cameron, Gabon, Equatorial Guinea, Uganda, Myanmar, Zimbabwe na sehemu nyingine nyingi sana nao wanaomba pia ila wako na watesi wao kwa miongo hadi nusu karne sasa.
Wananchi wa nchi gani?Ushindi unatolewa na wananchi siyo watukana watu
Washukuriwe wazee wa Bagamoyo walioitengeneza nji hii asiwepo wa kuwaonea wengine kirahisirahisi huku akijisifu😆Hiyo ilkuws bahati tu mkuu,
Cameron, Gabon, Equatorial Guinea, Uganda, Myanmar, Zimbabwe na sehemu nyingine nyingi sana nao wanaomba pia ila wako na watesi wao kwa miongo hadi nusu karne sasa.