Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Cheti kinaweza kuonesha alizaliwa mwaka huo lakini uhalisia inaweza kuwa tofauti.Nasisitiza hiyo 1971 ni umri aliotutajia yeye. Cheti cha kuzaliwa hajatuonyesha.
Mfumo wetu wa kupata cheti Cha kuzaliwa unatoa mwanya kuongopa tarehe ya kuzaliwa. Hasa waliozaliwa 1980's kurudi nyuma.