Hii ni problem of induction logical fallacy.
Unasema Tanzania haijawahi jutoa rais ambaye amewahi kuwa PM au VP wakati rais wa sasa aliwahi kuwa VP.
Na kwa nini unafikiri kuwa kama Tanzania haijawahi juwa na rais aliyekuwa PM, basi itakuwa hivyo siku zote?
Mbona Tanzania ilikuwa haijawahi kuwa na rais mwanamke na sasa hivi imekuwa na rais mwanamke?
Kila kitu kina mwanzo.
Umeweka induction logical fallacy kwamba kama kwenye nyumba yako glasi haijawahi kuvunjika, basi haiwezi kuvunjika. That is wrong logic.