Cheti kinaweza kuonesha alizaliwa mwaka huo lakini uhalisia inaweza kuwa tofauti.Nasisitiza hiyo 1971 ni umri aliotutajia yeye. Cheti cha kuzaliwa hajatuonyesha.
Kutokuonesha cheti cha kuzaliwa haimaanishi kuwa hajazaliwa 1971.Nasisitiza hiyo 1971 ni umri aliotutajia yeye. Cheti cha kuzaliwa hajatuonyesha.
Ushahidi ni cheti cha kuzaliwa, na cheti hajaonyesha. Hivyo hiyo 1971 ni tarehe aliyotuambia. Unakwama wapi mzee, wenzako wanagusa na kuachia, ww unashupaza shingo!Kutokuonesha cheti cha kuzaliwa haimaanishi kuwa hajazaliwa 1971.
This is a logical non sequitur fallacy.
Weka ushahidi kwamba hajazaliwa 1971.
CHADEMA ndio basi tena? No prospect?Nchimbi anakuwa Rais kuanzia 2030 to 2040..huo upweke utampa wewe?
Hata cheti cha kuzaliwa kwani hawezi kuchonga cha uongo akakuonesha kazaliwa 1971 wakati hajazaliwa 1971?Ushahidi ni cheti cha kuzaliwa, na cheti hajaonyesha. Hivyo hiyo 1971 ni tarehe aliyotuambia. Unakwama wapi mzee, wenzako wanagusa na kuachia, ww unashupaza shingo!
Gusa achia mzee.Hata cheti cha kuzaliwa kwani hawezi kuchonga cha uongo akakuonesha kazaliwa 1971 wakati hajazaliwa 1971?
Mbona unakuwa mjinga hivyo?
Roho mbaya na ubandidu.Je ni kweli nchimbi kazaliwa 1971 mbona namuona mzee kwa sura, mwili, vibe?
2030 si atakuwa Rais?
Umetoa madai ambayo huna ushahidi nayo.Gusa achia mzee.
Hawezi FANYA MAKOSA..Nchimbi ni kama Trump. Halafu ni presidential materialNchimbi atakuwa Rais.Nchimbi akiumua jambo huwa hashindwi labda afe.Si unaona 2015 kambi yao ilikatwa ila si unaona alivyorudi.This time hatofanya makosa.
Tunaongelea uRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.umepotosha gentleman,
miongoni mwa ma VP waliokua maraisi ni pamoja na Dr Alli Mohamed Shein, lakini pia Dr Samia Suluhu Hassan.
Ni muhimu kua makini unapotaka kupotosha wadau wa JF, japo maelezo mengine ni ya msingi na yana mantiki muhimu sana 🐒
Uko sahihi mimi nimepunguza miaka minneCheti kinaweza kuonesha alizaliwa mwaka huo lakini uhalisia inaweza kuwa tofauti.
Mfumo wetu wa kupata cheti Cha kuzaliwa unatoa mwanya kuongopa tarehe ya kuzaliwa. Hasa waliozaliwa 1980's kurudi nyuma.
Wengi tu wamepunguza.Uko sahihi mimi nimepunguza miaka minne
Mimi nilikuwa smart Nida,Passport,keseni na cheti cha kuzaliwa viko sawa,siku nikifa historia fupi ya marehenu sijui itakuwaje.watasoma umri fake au halisi?watajijua kwanza ntakuwa sisikiiWengi tu wamepunguza.
Cheti cha kuzaliwa na NIDA vinaonesha umri huo uliopunguzwa.
Na wote walikatwa akina sophia simba ila yeye akawa barozi. Jamaa kweli hapoteiNchimbi atakuwa Rais.Nchimbi akiumua jambo huwa hashindwi labda afe.Si unaona 2015 kambi yao ilikatwa ila si unaona alivyorudi.This time hatofanya makosa.
Dr Ali Mohamed Shein alikua Rais wa wapi? Yani kiongozi wa Mkoa anaitwa Rais ? Anyway tukubaliane Alikua Rais mbona tukisena Zanzibar ni nchi mnataka kutufunga?umepotosha gentleman,
miongoni mwa ma VP waliokua maraisi ni pamoja na Dr Alli Mohamed Shein, lakini pia Dr Samia Suluhu Hassan.
Ni muhimu kua makini unapotaka kupotosha wadau wa JF, japo maelezo mengine ni ya msingi na yana mantiki muhimu sana 🐒
Hivi Kiranga wewe chuo kikuu ulisomea taaluma gani ? Japo unaonekana huwa unapenda kusoma vitabu hata vilivyo nje ya taaluma yako.Hii ni problem of induction logical fallacy.
Unasema Tanzania haijawahi jutoa rais ambaye amewahi kuwa PM au VP wakati rais wa sasa aliwahi kuwa VP.
Na kwa nini unafikiri kuwa kama Tanzania haijawahi juwa na rais aliyekuwa PM, basi itakuwa hivyo siku zote?
Mbona Tanzania ilikuwa haijawahi kuwa na rais mwanamke na sasa hivi imekuwa na rais mwanamke?
Kila kitu kina mwanzo.
Umeweka induction logical fallacy kwamba kama kwenye nyumba yako glasi haijawahi kuvunjika, basi haiwezi kuvunjika. That is wrong logic.
Umetema madini matupu.Kwani watu wote waliozaliwa 1971 wana vyeti vya kuzaliwa?
Wewe umetoa madai, wewe ndiye mwenye wajibu wa kutoa ushahidi wa kuthibitisha hayo madai.
Thibitisha hajazaliwa 1971.
Ulitakiwa kuja hapa kuonesha hiki hapa cheti cha kuzaliwa.
Ulitakiwa kuja hapa kutupa ushahidi kwamba hakuzaliwa 1971.
Hujafanya hilo. Unatuonesha kuwa wewe mwenyewe huna ushahidi, unamtaka Nchimbi atie ushahidi.
Weka ushahidi wa kutetea tuhuma yako.