Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
From General to specificHii ni problem of induction logical fallacy.
Unasema Tanzania haijawahi jutoa rais ambaye amewahi kuwa PM au VP wakati rais wa sasa aliwahi kuwa VP.
Na kwa nini unafikiri kuwa kama Tanzania haijawahi juwa na rais aliyekuwa PM, basi itakuwa hivyo siku zote?
Mbona Tanzania ilikuwa haijawahi kuwa na rais mwanamke na sasa hivi imekuwa na rais mwanamke?
Kila kitu kina mwanzo.
Umeweka induction logical fallacy kwamba kama kwenye nyumba yako glasi haijawahi kuvunjika, basi haiwezi kuvunjika. That is wrong logic.
Impossible.Nchimbi anakuwa Rais kuanzia 2030 to 2040..huo upweke utampa wewe?
That man naturally has an old face like Polepole.Je ni kweli nchimbi kazaliwa 1971 mbona namuona mzee kwa sura, mwili, vibe?
2030 si atakuwa Rais?
gentleman,Dr Ali Mohamed Shein alikua Rais wa wapi? Yani kiongozi wa Mkoa anaitwa Rais ? Anyway tukubaliane Alikua Rais mbona tukisena Zanzibar ni nchi mnataka kutufunga?
Wanamchukulia poa sana Nchimbi. Huyo alijipanga kupokea baada ya Lowasa, lkini pamoja na Lowasa na kambi yake akiwemo Nchimbi kusambaratishwa akapelekwa hadi huko Brasil akajifunze samba na kucheza mpira ili aje afungue academy lakini sasa hivi huyo hapo.Nchimbi atakuwa Rais.Nchimbi akiumua jambo huwa hashindwi labda afe.Si unaona 2015 kambi yao ilikatwa ila si unaona alivyorudi.This time hatofanya makosa.
Uongozi wa dada Samia 2025-2030 ndio utamfanya Machimbo wamuone dhahabu au kiaziNchimbi atakuwa Rais.Nchimbi akiumua jambo huwa hashindwi labda afe.Si unaona 2015 kambi yao ilikatwa ila si unaona alivyorudi.This time hatofanya makosa.
Ndumbaro ana miaka mingapi?Watu wa Songea wakipata vyeo wanaumuka sana.Captain John Komba hevy weight kafa na miaka 60 sababu ya uzito.
Leonidas Gama nadhani alikuwa na kilo 140 kafa sababu ya uzito,hakufika ha miaka 60,Nchimbi ni mdogo ndio ni umri wake sahihi mwili tu
Trump ni presidential material kivipi?Hawezi FANYA MAKOSA..Nchimbi ni kama Trump. Halafu ni presidential material
hukufafanua urais wa wapi gentleman,Tunaongelea uRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Shein alikuwa Rais Zanzibar.
Kama Nagufuli asingekufa Samia asingekuwa Rais katu
Sawa kacisa, huyu safari hii anaweza kuja kuuvunja huo mwiko. Ni huyu au MwiguluNchimbi atakuwa Rais.Nchimbi akiumua jambo huwa hashindwi labda afe.Si unaona 2015 kambi yao ilikatwa ila si unaona alivyorudi.This time hatofanya makosa.
Ipo siku moja ambayo historia hiyo nayo pia itakuwa zamu yake kuhukumiwaNa iwe hivyo ila historia ya VP kuwa rais inamuhukumu
Ipo haja ya kutumia Carbon 14Anaonekana mzee kuliko huo umri uliopo kwenye makaratasi.
Je ni kweli nchimbi kazaliwa 1971 mbona namuona mzee kwa sura, mwili, vibe?
Hivi unajua ulishamuona olesendeka unajua kazaliwa mwaka gan
Hajazaliwa 1971, bali ndio umri aliotutajia.
Tunaongelea uRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Shein alikuwa Rais Zanzibar.
Kama Nagufuli asingekufa Samia asingekuwa Rais katu
Dogo uzi wako na post zako zimekaa kiumbea umbea. Ukija zeeka sijuhi itakuwaje!Watu wa Songea wakipata vyeo wanaumuka sana.Captain John Komba hevy weight kafa na miaka 60 sababu ya uzito.
Leonidas Gama nadhani alikuwa na kilo 140 kafa sababu ya uzito,hakufika ha miaka 60,Nchimbi ni mdogo ndio ni umri wake sahihi mwili tu