njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Yaani tungeingia nusu fainali , hizi habari za kuombeana njaa wala zisingekuwepo kwa kweli maana kama siyo namba 9 tungekuwa wa 10.
Anyway wakati dua mbaya tunaelekeza kwa Etoile du sahel ya Tunisia na Es Setif ya Algeria kumbe wale wapuuzi wa soweto Orlando pirates walikuwa na viporo vitatu na juzi wameshinda kimoja goals 4-1 vs maritzburg
Sasa vimebaki viwili na sasa hivi wako uwanjani wakikipiga na Royal ambao nao wako nafasi nzuri ya kufuzu kwa shirikisho, Orlando akishinda leo na na mechi ijayo basi atakuwa wa pili kwa points 49 sawa na cape town city ingawa GD ya wajingawajinga hao wa soweto itakuwa bora zaidi, so akifikisha 49 simba hatuna chetu tena kwani kwenye top 10 wa kuondoka itakuwa Berkane na Pyramids tu nafasi ambazo zitachukuliwa na Horoya na Petro Atletico.
Leo hawa jamaa watoke tu sare mwisho wa siku watafikisha points 47 tu ambazo zitawapeleka shirikisho...nafurahi leo wamepata mpinzani sahihi mwenye matumaini ya kufuzu maana kama ulidhani south africa hakuna match fixing basi umekosea sana.
Juzi ilipigwa mechi kati ya kaizer chiefs na moroka swallows , kazier akihitaji ashinde a tleast aende shirikisho na swallows akihitaji ushindi au sare aepuke kushuka daraja aende playoffs ,kule baroka anaombea ashinde na swallows apigwe GUESS WHAT?
Hata mitandaoni mashabiki wa kaizer chiefs walikuwa wanasema bora wasiende shirikisho ila baroka ishuke maana mwaka juzi goli la mzambia aitwaye kambala dakika ya 89 katika mechi dhidi ya baroka lilitosha kuwanyima ubingwa kaizer chiefs waliokuwa wakihitaji sare tu kuwa mabingwa, wachezaji wa kazier majuzi walifanya blunder za makusudi game ikaisha 2-2 na swallows majirani zao wa soweto iliyo chini ya kocha wa zamani wa simba Dylan kerry inaenda play offs
So sikushangaa sana juzi Maritzburg kupigwa 4-1 ila leo najua Royal AM, tuendelee kuombea njaa tu hizi teams 3 ....maana ni bora hivyo kuliko team fulani inayotakiwa kuombea njaa teams 69 zifeli ili yenyewe ichupe toka nafasi ya 78 hadi top 10 ya kuanzia round ya kwanza