Kuanzia round ya kwanza: tuwaombee njaa Orlando Pirates wako uwanjani muda huu

Kuanzia round ya kwanza: tuwaombee njaa Orlando Pirates wako uwanjani muda huu

Full Time
2-2
Utopolo wanabaki peke yao
Thanks God aiseee na wakifanya mchezo hao orlando hawataenda hata shirikisho sababu Royal am kamtoa kaizer chiefs nafasi ya 4 anaombea pirates mechi ya mwisho atoe draw
 
1653680052590.png
 
confirmed cape town city anaenda champions league tumebaki kumuombea mabaya etoile du sahel na probably es setif
cape.PNG
 
Hii mechi nimrifatilia sana live score yani sikuamini kama matokeoa ya mwisho yangekuwa hivi
 
Hii mechi nimrifatilia sana live score yani sikuamini kama matokeoa ya mwisho yangekuwa hivi
HAHAHAHA dah nishajikatia tamaa , washabiki wa orlando hawamtaki yule kocha mropokaji nahisi Ben Mc carthy atapewa team next week, wanatakiwa wampige supersport 5-0 ili wafuzu shirikisho
 
HAHAHAHA dah nishajikatia tamaa , washabiki wa orlando hawamtaki yule kocha mropokaji nahisi Ben Mc carthy atapewa team next week, wanatakiwa wampige supersport 5-0 ili wafuzu shirikisho
Kama vipi supersport wagomee mechi ili kaizer chiefs apewe point 3 na magoli 3 akafie mbele
 
Hii ligi ya sauzi ngumu sana! Fikiria eti Orlando Pirates na Kaizer Chiefs hawatakuwepo Champions leage wala shirikisho msimu ujao🤔
 
Back
Top Bottom