Kuanzia round ya kwanza: tuwaombee njaa Orlando Pirates wako uwanjani muda huu

Kuanzia round ya kwanza: tuwaombee njaa Orlando Pirates wako uwanjani muda huu

Hii ligi ya sauzi ngumu sana! Fikiria eti Orlando Pirates na Kaizer Chiefs hawatakuwepo Champions leage wala shirikisho msimu ujao🤔
yah south afrika,morroco,tunisia ,egypt na algeria ligi zao ni tight sana...ila orando pirates bado ananafasi kama akimpiga superspot utd nyingi anaweza kwenda shirikisho
 
Orlando pirates walitengenezewa mazingira lakini wapi
Scars said:
Hii mechi nimrifatilia sana live score yani sikuamini kama matokeoa ya mwisho yangekuwa hivi!
✍️ Nini kimetokea nilishajikatia tamaa nikajua jamaa washauza game au walipandiwa dau!
 
yah south afrika,morroco,tunisia ,egypt na algeria ligi zao ni tight sana...ila orando pirates bado ananafasi kama akimpiga superspot utd nyingi anaweza kwenda shirikisho
Yani Orlando Pirates amfunge nyingi Super Sport United ?
 
Orlando ameshindwa kupenya wameingia Cape Town na Mamelod. Hakuna namna Morroco na Egypt kuingiza timu 3, wawili lazima watuachie seat
Kwasasa kabakia Etoil du Sahel peke yake ambao nao wana hari mbaya mno kufuzu. Wamebakiza game tatu, mechi inayofuata ni dhidi ya Monastir. Mechi ngumu sana kwao hii. Wanatakiwa washinde zote huku akiombea Monastir wafungwe game mbili
 
1. Al Ahly 🇪🇬
2. Wydad 🇲🇦
3. Esperance 🇹🇳
4. Raja 🇲🇦
5. RS Berkane 🇲🇦
6. Sundowns 🇿🇦
7. TP Mazembe 🇨🇩
8. Zamalek 🇪🇬
9. Pyramids 🇪🇬
10. Pirates 🇿🇦
11. Horoya 🇬🇳
12. Petro de Luanda 🇦🇴
13. Simba SC 🇹🇿
14. Es Setif 🇩🇿
15. JS Kabylie 🇩🇿
Mkuu wewe unatumia mkeka upi?
 
1. Al Ahly [emoji1093]
2. Wydad [emoji1173]
3. Esperance [emoji1249]
4. Raja [emoji1173]
5. RS Berkane [emoji1173]
6. Sundowns [emoji1221]
7. TP Mazembe [emoji1078]
8. Zamalek [emoji1093]
9. Pyramids [emoji1093]
10. Pirates [emoji1221]
11. Horoya [emoji1119]
12. Petro de Luanda [emoji1029]
13. Simba SC [emoji1241]
14. Es Setif [emoji1026]
15. JS Kabylie [emoji1026]
Mkuu wewe unatumia mkeka upi?
Umeiacha Etoil du Sahel wenye point 32 sawa sawa na Orlando pirates.
 
Back
Top Bottom