njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
- Thread starter
-
- #21
woyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo dadeeeeeeekiiii hat aakishind amechi na supersport atakuwa na points 48 anaenda shirikishoRoyal AM wamesawazisha huko, 2-2
changaule, njaakalihatari
uuuuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hiya hiya hiya hiya hiyaaaaaaaaaaaaaaaaWamesawazisha zote mbili. Sare
Thanks God aiseee na wakifanya mchezo hao orlando hawataenda hata shirikisho sababu Royal am kamtoa kaizer chiefs nafasi ya 4 anaombea pirates mechi ya mwisho atoe drawFull Time
2-2
Utopolo wanabaki peke yao
Hata akishinda.Thanks God aiseee na wakifanya mchezo hao orlando hawataenda hata shirikisho sababu Royal am kamtoa kaizer chiefs nafasi ya 4 anaombea pirates mechi ya mwisho atoe draw
Obviously Orlando hataweza kwenda CAFCL
Ata shirikisho anaweza asikanyage hukoObviously Orlando hataweza kwenda CAFCL
Hii table imepangwa vibaya
hiyo table ni kbala ya hii mechi iliyoisha , ndiyo maan ahapo unaona viporo vya pirates vilikuwa vinasomeka viwili kimebaki kimoja na supersport utdHii table imepangwa vibaya
Hao Royal am ndio wapaswa kuwa nafasi ya tatu, kaizer nafasi ya tano.
Nimeelewahiyo table ni kbala ya hii mechi iliyoisha , ndiyo maan ahapo unaona viporo vya pirates vilikuwa vinasomeka viwili kimebaki kimoja na supersport utd
HAHAHAHA dah nishajikatia tamaa , washabiki wa orlando hawamtaki yule kocha mropokaji nahisi Ben Mc carthy atapewa team next week, wanatakiwa wampige supersport 5-0 ili wafuzu shirikishoHii mechi nimrifatilia sana live score yani sikuamini kama matokeoa ya mwisho yangekuwa hivi
Kama vipi supersport wagomee mechi ili kaizer chiefs apewe point 3 na magoli 3 akafie mbeleHAHAHAHA dah nishajikatia tamaa , washabiki wa orlando hawamtaki yule kocha mropokaji nahisi Ben Mc carthy atapewa team next week, wanatakiwa wampige supersport 5-0 ili wafuzu shirikisho
Orlando pirates walitengenezewa mazingira lakini wapiHii mechi nimrifatilia sana live score yani sikuamini kama matokeoa ya mwisho yangekuwa hivi
Mipira ya Africa ina figisu sanaOrlando pirates walitengenezewa mazingira lakini wapi
Yaani shirikisho la soka lao limekosa weredi kiasi hiko kiasi kwamba waneshindwa kufanya timu zihitimishr michezo yao kwa pamojaMipira ya Africa ina figisu sana