yah south afrika,morroco,tunisia ,egypt na algeria ligi zao ni tight sana...ila orando pirates bado ananafasi kama akimpiga superspot utd nyingi anaweza kwenda shirikishoHii ligi ya sauzi ngumu sana! Fikiria eti Orlando Pirates na Kaizer Chiefs hawatakuwepo Champions leage wala shirikisho msimu ujaoπ€
Scars said:Orlando pirates walitengenezewa mazingira lakini wapi
Yani Orlando Pirates amfunge nyingi Super Sport United ?yah south afrika,morroco,tunisia ,egypt na algeria ligi zao ni tight sana...ila orando pirates bado ananafasi kama akimpiga superspot utd nyingi anaweza kwenda shirikisho
Kwasasa kabakia Etoil du Sahel peke yake ambao nao wana hari mbaya mno kufuzu. Wamebakiza game tatu, mechi inayofuata ni dhidi ya Monastir. Mechi ngumu sana kwao hii. Wanatakiwa washinde zote huku akiombea Monastir wafungwe game mbiliOrlando ameshindwa kupenya wameingia Cape Town na Mamelod. Hakuna namna Morroco na Egypt kuingiza timu 3, wawili lazima watuachie seat
Ana game esperence pia ngumu kutoboa.Kwasasa kabakia Etoil du Sahel peke yake ambao nao wana hari mbaya mno kufuzu. Wamebakiza game tatu, mechi inayofuata ni dhidi ya Monastir. Mechi ngumu sana kwao hii. Wanatakiwa washinde zote huku akiombea Monastir wafungwe game mbili
Kwasasa kabakia Etoil du Sahel peke yake ambao nao wana hari mbaya mno kufuzu. Wamebakiza game tatu, mechi inayofuata ni dhidi ya Monastir. Mechi ngumu sana kwao hii. Wanatakiwa washinde zote huku akiombea Monastir wafungwe game mbili
Kabisa, mechi yao ya kushinda ilikuwa ya juzi lakini wakapoteza. Wangeshinda wangekuwa na point 14.Ana game esperence pia ngumu kutoboa.
Umeiacha Etoil du Sahel wenye point 32 sawa sawa na Orlando pirates.1. Al Ahly [emoji1093]
2. Wydad [emoji1173]
3. Esperance [emoji1249]
4. Raja [emoji1173]
5. RS Berkane [emoji1173]
6. Sundowns [emoji1221]
7. TP Mazembe [emoji1078]
8. Zamalek [emoji1093]
9. Pyramids [emoji1093]
10. Pirates [emoji1221]
11. Horoya [emoji1119]
12. Petro de Luanda [emoji1029]
13. Simba SC [emoji1241]
14. Es Setif [emoji1026]
15. JS Kabylie [emoji1026]
Mkuu wewe unatumia mkeka upi?
Huko aende tu, cha msingi hajatubania nafasi ya raundi ya piliObviously Orlando hataweza kwenda CAFCL