Kuanzia sasa mimi na wanawake basi, inatosha!

Mimi niko single kama wewe ila sijui nikipata hela nitakuwa kama wewe au itakuwaje, au nitaacha kusema niko single nainjoiii!
 
Ulikuwa umekusudia kufikisha nin???i Kwa Wana jf sijaelewa lengo lako!!!!
 
Sasa hao c ni lamba lamba kumbuka huyu mtoa mada anahitaji true love, na yeye atajitoa as mwanaume kuhudumia, what if anakuja mtu kumbe yuko kima slahi?.
Mapenzi ya kweli hamna na ukiendelea kuyatafuta utakufa mapema Mimi yalishanitokea hayo nikayapuuza nikaendelea kutafuta pesa na kwa sasa nachukuwa mwanamke yoyote nayemtaka na Niko kingono sana hata nikikutana na mwanamke Sina Ile kumngangania tunamalizana na kila mtu anaangalia mda wake mapenzi yalikuwa zamani
 
Maandiko mengi ya JF yamenifunza kutokumwamini sana mwanamke. Ukimsadia fanya kiasi kisichouma yaani kama unamsaidia mtu baki tu, au ilingane na tako ulizopiga. Halafu ukiwa naye weka akiba kwamba kuna siku atakuacha.
Hayo yote utaongeza kiasi ukimuoa. Nako bado usiweke 100%.

Niliwahi kumpa demu laki 2 alipe kodi. Siku moja nikataka kulala 2 days geto nililolipia kodi, akagoma. Nakamwambia kwa nyakati nilizokukaza laki 2 sioni hasara. Byeeee. Alijua natania, leo anapiga simu kama friends tu. Sitaki ujinga

Mnaumia sana mnaowaamini 100%
 
Duu 🙌 kama ni hivi basi kwa kizazi hiki hakuna maana ya ndoa, hata zinazofungwa ni unafiki tu, sasa sijui kama kuna baraka pale God anaziweka kwenye unafik.
 
Poem
 
Usiathiriwe na stori za humu, nyingi ni za kutunga na ziko exergrated.

Huku kwa ground mambo ni mazuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…