Kuanzia sasa mimi na wanawake basi, inatosha!

Maandiko mengi ya JF yamenifunza kutokumwamini sana mwanamke. Ukimsadia fanya kiasi kisichouma yaani kama unamsaidia mtu baki tu, au ilingane na tako ulizopiga. Halafu ukiwa naye weka akiba kwamba kuna siku atakuacha.
Hayo yote utaongeza kiasi ukimuoa. Nako bado usiweke 100%.

Niliwahi kumpa demu laki 2 alipe kodi. Siku moja nikataka kulala 2 days geto nililolipia kodi, akagoma. Nakamwambia kwa nyakati nilizokukaza laki 2 sioni hasara. Byeeee. Alijua natania, leo anapiga simu kama friends tu. Sitaki ujinga

Mnaumia sana mnaowaamini 100%
Cha msingi ni kukaa nao kihasibu tu
 
Maybe haya mambo ya mahusiano sio fungu langu, maybe nalazimisha nisipopendwa, ila ninachojua ni kwamba, umri wa kuishi wa binadamu ni miaka 70, acha huu muda uliobaki ni-enjoy mwenyew bila stress.

Ningekuwa nina kilema ningejua sababu ni nn, ningekuwa maskini ningejua shida iko wapi, ila wapi, inatosha sasa maana stress ninazopitia zitanizeesha kabla ya muda wangu.

Haya mapenzi sio kwa kila mtu, nami nimekuja kukubali kwamba sina nafasi kweny kweny ulimwengu wa mapenzi.

Nimemlisha, nimemvisha, nimemtibu, nimemtibu mama ake na kukesha nae hospitali, nilimpa sweta langu alivosikia baridi, nilimpa soksi zangu alipo ng'atwa na mbu, nilimpendezesha akanawiri na kunukia vizur, nilimnunulia feni aliposikia joto, nilipambana apate kazi na akapata, ila hayo yote ni bure, kwasababu mwisho wa siku, mwanaume ndiye anayechukua lawama siku zote.

Nilijitahidi sana kumtunza, na kumheshimu, but nilichokuja kuambulia ni maneno ya dharau na kejeli.

Ni kweli nimepoteza muda na pesa nyingi, but yashapita na mimi nimekubali, kuanzia sasa huu muda na resources nilizokuwa nazo nitazielekeza kweny mambo yangu na mikakati yangu, from now on its going to be all about me, my growth and my happiness.

Kuanzia sasa sitakuwa na mpenzi, na wala sitakuja kuwa mke, na sio kwamba wanachukia wanawake, lahasha, wanawake ni watu poa sana labda mimi tu sina bahati.

"My life doesn't have to be Perfect, It just has to be reasonable"
Kuna kitengo nilikuwa nasoma kwa makini nione kama umekitimiza kumbe zero kabisa hapo ulipoferi kaka yaani kwenye kunyandua papuchi upo vzr? hata ungekuwa masikini kama unazichanga sawasaw kwny umaliziaji wala usingejibiwa jeuri! pole sana we aga mashindano huwezi ushindani
 
Nimechukua notice mkuu
Maandiko mengi ya JF yamenifunza kutokumwamini sana mwanamke. Ukimsadia fanya kiasi kisichouma yaani kama unamsaidia mtu baki tu, au ilingane na tako ulizopiga. Halafu ukiwa naye weka akiba kwamba kuna siku atakuacha.
Hayo yote utaongeza kiasi ukimuoa. Nako bado usiweke 100%.

Niliwahi kumpa demu laki 2 alipe kodi. Siku moja nikataka kulala 2 days geto nililolipia kodi, akagoma. Nakamwambia kwa nyakati nilizokukaza laki 2 sioni hasara. Byeeee. Alijua natania, leo anapiga simu kama friends tu. Sitaki ujinga

Mnaumia sana mnaowaamini 100%e
 
Maybe haya mambo ya mahusiano sio fungu langu, maybe nalazimisha nisipopendwa, ila ninachojua ni kwamba, umri wa kuishi wa binadamu ni miaka 70, acha huu muda uliobaki ni-enjoy mwenyew bila stress.

Ningekuwa nina kilema ningejua sababu ni nn, ningekuwa maskini ningejua shida iko wapi, ila wapi, inatosha sasa maana stress ninazopitia zitanizeesha kabla ya muda wangu.

Haya mapenzi sio kwa kila mtu, nami nimekuja kukubali kwamba sina nafasi kweny kweny ulimwengu wa mapenzi.

Nimemlisha, nimemvisha, nimemtibu, nimemtibu mama ake na kukesha nae hospitali, nilimpa sweta langu alivosikia baridi, nilimpa soksi zangu alipo ng'atwa na mbu, nilimpendezesha akanawiri na kunukia vizur, nilimnunulia feni aliposikia joto, nilipambana apate kazi na akapata, ila hayo yote ni bure, kwasababu mwisho wa siku, mwanaume ndiye anayechukua lawama siku zote.

Nilijitahidi sana kumtunza, na kumheshimu, but nilichokuja kuambulia ni maneno ya dharau na kejeli.

Ni kweli nimepoteza muda na pesa nyingi, but yashapita na mimi nimekubali, kuanzia sasa huu muda na resources nilizokuwa nazo nitazielekeza kweny mambo yangu na mikakati yangu, from now on its going to be all about me, my growth and my happiness.

Kuanzia sasa sitakuwa na mpenzi, na wala sitakuja kuwa mke, na sio kwamba wanachukia wanawake, lahasha, wanawake ni watu poa sana labda mimi tu sina bahati.

"My life doesn't have to be Perfect, It just has to be reasonable"
Huyo hakuwa fungu lako ...
 
Kimeumana okay hpo kwenye English thatha😅 ndo pazito.

Bai ze wei, samaki mmoja akioza sio wote wameoza, na wazima wapo.
Ila pia hakuna sehemu paliandikwa ni lazima kuoa au kuolewa ukiweza kujizuia.
 
Back
Top Bottom