KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Maneno ya maumivu haya ukipoa utaanza upya ni suala la muda tu.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilipitia situation kama yako ni kosa kubwa kumtafutia mwanamke kazi huko ni kupingana na maandiko hapo ulijipendekeza! Usirudie tena.Maybe haya mambo ya mahusiano sio fungu langu, maybe nalazimisha nisipopendwa, ila ninachojua ni kwamba, umri wa kuishi wa binadamu ni miaka 70, acha huu muda uliobaki ni-enjoy mwenyew bila stress.
Ningekuwa nina kilema ningejua sababu ni nn, ningekuwa maskini ningejua shida iko wapi, ila wapi, inatosha sasa maana stress ninazopitia zitanizeesha kabla ya muda wangu.
Haya mapenzi sio kwa kila mtu, nami nimekuja kukubali kwamba sina nafasi kweny kweny ulimwengu wa mapenzi.
Nimemlisha, nimemvisha, nimemtibu, nimemtibu mama ake na kukesha nae hospitali, nilimpa sweta langu alivosikia baridi, nilimpa soksi zangu alipo ng'atwa na mbu, nilimpendezesha akanawiri na kunukia vizur, nilimnunulia feni aliposikia joto, nilipambana apate kazi na akapata, ila hayo yote ni bure, kwasababu mwisho wa siku, mwanaume ndiye anayechukua lawama siku zote.
Nilijitahidi sana kumtunza, na kumheshimu, but nilichokuja kuambulia ni maneno ya dharau na kejeli.
Ni kweli nimepoteza muda na pesa nyingi, but yashapita na mimi nimekubali, kuanzia sasa huu muda na resources nilizokuwa nazo nitazielekeza kweny mambo yangu na mikakati yangu, from now on its going to be all about me, my growth and my happiness.
Kuanzia sasa sitakuwa na mpenzi, na wala sitakuja kuwa mke, na sio kwamba wanachukia wanawake, lahasha, wanawake ni watu poa sana labda mimi tu sina bahati.
"My life doesn't have to be Perfect, It just has to be reasonable"
😀😀😀😀😀bado hujasema coz utapenda tu tenaShindwa pepo mchafu
🤣Pumbafu nini wasukuma tuna mapenzi ya kweliShida ya nyie wasukuma mkipenda mnapenda jumla
hayo maisha uliyoyachagua yanaghalama zake hapo baadaeMapenzi ya kweli hamna na ukiendelea kuyatafuta utakufa mapema Mimi yalishanitokea hayo nikayapuuza nikaendelea kutafuta pesa na kwa sasa nachukuwa mwanamke yoyote nayemtaka na Niko kingono sana hata nikikutana na mwanamke Sina Ile kumngangania tunamalizana na kila mtu anaangalia mda wake mapenzi yalikuwa zamani
Vina muda bassManeno ya maumivu haya ukipoa utaanza upya ni suala la muda tu.....
Sio ikitokeq atapenda tuu😂ikitokea umependa Tena which is more likely kama hujaenda kuhasiwa
1.stop being "MR NICE GUY"
2.Stop showing that you need her ( Stop being needy)....you might want her but "need" stop that...hapa ndo madharau yanaanziaga hapa mtu anpohisi unamuhitaji zaidi ya anavyokuhitaji
3.lower your expectations...... expectations zako ndo zimeleta hili yowe lote hapa .....kama unamsaidia mtu kwa kumpenda msaidie siyo unamsaidia huku kichwani unawaza ipo siku atakulipa fadhila....mtu unayempenda na umempa vitu kwa kumpenda huwezi kuumia kama mkiachana maana umetoka kwa upendo hujatoka ili ulipwe kwa namba yoyote ile
hayo maisha uliyoyachagua yanaghalama zake hapo baadae
Loyal hatarii"..why you give a bitch a heart, while, she would rather have a pulse.."
"..you are all about her and she is all about her's.."
lil wayne
🤣Ata kula sana mkunyetoSasa naona ukichukua kadi ya Chaputa Rasmi
Anahitaji nini? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hao c ni lamba lamba kumbuka huyu mtoa mada anahitaji true love, na yeye atajitoa as mwanaume kuhudumia, what if anakuja mtu kumbe yuko kima slahi?.
Mpaka Mnara ukose Network baada ya siku kadhaa wa kadhaa atakuja na ID nyingine kuomba msaada 🤣🤣🤣🤣Ata kula sana mkunyeto
Maybe haya mambo ya mahusiano sio fungu langu, maybe nalazimisha nisipopendwa, ila ninachojua ni kwamba, umri wa kuishi wa binadamu ni miaka 70, acha huu muda uliobaki ni-enjoy mwenyew bila stress.