Huduma Pendwa
Member
- Apr 21, 2023
- 53
- 172
Mkuu, naomba nitofautiane na mtazamo wako. Hiyo Positive discrimination ilipaswa imuhusishe Mjomba wako. Yaani, naye awe kipaumbele chako katika watu wa kuwasaidia (jukumu lako). Kumbuka, Wakati Mjomba wako anakusaidia, siyo kwamba alikuwa na kipato na hakuwa na watu wa kuwasaidia bali alikusaidia kwa upendo na alikuona kipaumbele chako.1. Pole sana.
2. Naamini katika ndoa hakuna mwalimu, au kila mwanandoa ni mwalimu.
3. Hivyo, kinachotakiwa ni ku'share' what I see from my perspective, which is different from yours, of course.
4. Mara nyingi uki'share' what you are going through kwenye ndoa yako, unachokipata siyo ushauri, bali mawazo ya mtu/mchangiaji anavyoona yeye angefanya nini katika situation kama hiyo.
5. Ukichukulia mawazo yake, kwa vile yeye hakuwahi ku'experience' hivyo au kama alipatapa hiyo experience si kwa mke uliyenaye, then unapata mawazo yasiyofaa/fiti kwenye context yako.
6. Sasa ushauri ukoje?
7. Ushauri ni mtu kufanya uchambuzi wa kile ulicho'share' na kuainisha issues ulizozitaja. Then, kwa vile si rahisi kupata mawazo ya upande wa pili, uchambuzi huu kimsingi uko very limited.
8. Hii ni kutokana na ukweli kwamba, kama tungesikia kutoka pia kwa mkeo, tungeweza kupata picha kamili ya kilichotokea kwa upande wako na upande wake.
9. Katika situation kama hii, Mimi huwa sioni ushauri wowote. Isipokuwa huwa na'share' Nionavyo Mimi.
10. Na hiki ndicho ninachoona mimi.
11. Kuna makosa tunafanya kwa watoto, ndugu na kwa wake zetu. Kama ukiona au kama unadhani unamsaidia mtu don't count the cost. Mimi nilisaidiwa na mjomba kusoma. Nilipopata kazi, akaona muda wa kurejesha nguvu ya fedha aliyotumia kwangu umefika.
12. Kuna wakati nilimsikia akisema, "alinisaidia nikasema, lakini sina msaada wowote kwake."
13. Of course, ningependa sana kumsaidia mjomba, lakini sikuweza: mshahara mdogo, nimeona (nina familia), ninaishi na mama yangu, na wadogo zangu bado wananitegemea.
14. Haikuwa rahisi kugawanya hela nilipokuwa napata kwa wote hao. Hivyo, nilifanya kitu kinachoitwa "positive discrimination".
15. Niliona nina wajibu wa kutunza familia yangu kwanza, mama na wadogo zangu na mjomba anaweza kusubiri.
16. Siku moja ilibidi aniambie kwamba sina msaada wowote kwake, na mimi nikamuuliza: "hata wewe kufikia umri ulionao ulishasaidiwa na wengi, wakiwemo wazazi wako. Ulishawarudishia hela waluzotumia kwako kiasi gani, na unadhani umebakiza ngapi ili gharama yote iishe?
17. Hadi leo mimi sina msaada wowote kwa mjomba au familia yake. Hapa nataka kusisitiza kwamba ukimsaidia mtu "never count the cost". Bali ona kwamba ulitakiwa ufanye uliyofanya na ndivyo uliyofanya.
18. I'm sure hata mke wako ame'sacrifice' mengi kwa ajili yako. Umekuwa ukienda kazini, kusafiri, lakini ukirudi nyumbani unakuta mali yako Iko kama ulivyoiacha, na wala hukuwa na sababu ya kumwomba mtu mwingine aje kukaa hapo hadi utakaporudi.
19. Kama huna mfanyakazi wa nyumbani, mke wako amekuwa ndiye mpishi wako miaka nenda-rudi. Ukimwa ndiye anayekuuguza iwe nyumbani au hospitalini...yote haya angeweza kuyadai umlipe au unirudishie, usingeweza.
20. Kwa kifupi katika ndoa tunategemeana: wewe unaweza kuwa na fedha, na yeye anaweza asiwe na kitu. Lakini fedha haziwezi kufanya kila kitu. Ukiamka asubuhi fedha haiwezi kukusalimia "habari za asubuhi?" "Umeamkaje...au unaendeleaje?" Mke wako asiye na fedha, atakusalimia, atakupikia, atafua nguo zako, atazinyoosha...kama kuna baridi atakuchemshia maji ya kuoga, etc.
21. Kuna mambo yanaweza kutokea katika ndoa (mgogoro), tukashindwa kuutatua na matokeo yake tunaweza kufarakana na kuachana.
22. Kama tumeachana kwa hasira, hasira zikiisha tunaweza kurudiana. Kama tumeachana kwa sababu zingine, tunaweza kuamua kusameheana, na wengine wameapa kutosameheana.
23. Kitabu cha Methali 24:10 kinasema: "If you lose heart when things go wrong, your strength is not worth much."
24. "The logical (rational) thing to do when you are hurt is to forgive."
24. "Refuse no kindness to those who have a right to it, if it is in your power to perform it" - Methali 3:27, on pia Methali 3:28-35.
25. Ningekuwa mimi, 1) ningesamehe, na kama ningeshindwa kusamehe, ningeishi maisha mapya yasiyonirudisha nyuma kuanza kupiga mahesabu ya hela na vitu nilivyovipoteza: you won't recover them. Hivyo, kufanya rehearsal tena na tena kwa maisha yaliyokwisha pita ni kutafuta msongo wa mawazo, shinikizo la damu, chuki na kuchukia maisha ya ndoa/hata kuishi. Pole sana kwa yote.
Pili, tuache mawazo ya kuona Mwanamke siyo muhitaji wa kuwa na Familia na kutimiza wajibu wake na hivyo kuwepo uhitaji wa kulipwa wanapotekeleza majukumu yao ya kifamilia!!
Ifike mahali, Wanaume tuamke. Sex na Familia, siyo hitaji la Mwanaume pekee, hata Mwanamke anahitaji pia.