Kuanzia Sasa Namuomba Mungu Anipe Moyo Mgumu Wa kutokusaidia Binadamu😭

Ni elfu kumi tu au ulimpa tena zaidi ya hiyo? Sijaelewa
 
Kumsaidia mtu ni hiyari ya nafsi na moyo wa anayesaidia
 
Pole sana Mkuu ,Mungu atasimama na wewe . Hiyo hali hata mimi inanitokea sana nikipata pesa tu nataka kumsaidia kila mtu . Nikiishiwa wote hunikimbia na wengine niliowasaidia wananilipa ubaya .
 
Hii beba beba ya hovyo kwenda nyumbani, ipo siku wata kubaka au kuku vamia.
Unajua nilipokuwa nasoma kipengele cha yeye kumpeleka nyumbani nilisha conclude kuwa jamaa angeibiwa kila kitu au kuvamiwa usiku.. Kwanza kitendo cha kurudi tena na kusema bado tatizo halijaisha kilitosha kabisa kuonyesha huyo siyo mtu wa kawaida. Au ukute ni mtu aliyekuwa na mission fulani nyumbani kwake, na ameshakamilisha alichofanya.
 
Pole sana Mkuu ,Mungu atasimama na wewe . Hiyo hali hata mimi inanitokea sana nikipata pesa tu nataka kumsaidia kila mtu . Nikiishiwa wote hunikimbia na wengine niliowasaidia wananilipa ubaya .
Hakika Mungu hawezi kukulipa kwa kufanya ujinga kama huu.
 
Jamaa ni fala wa gharama nafuu
 
Unamuomba kitu ambacho hana.
 
Nadhani ungemwomba Mungu akusaidie kuondoa huo ujinga ulio nao hapo kichwani. Unawezaje kumpa hifadhi mtu usiyemfahamu nyumbani kwako hadi kufikia hatua ya kumuacha nyumbani na kwenda kazini? Una mavi kichwani wewe.
 
Kwa mfano angekua ni demu, usingempa hifadhi
 
Your totally idiot how can you take a strangle to your home?
You should thank your God he just dissapear with your 10k which is nothing compared to danger you got in
 
Asa kwann umdai? Ungefanya kumpa tuh mungu angekuzidishia zaid ya hpo kuliko kulalamika mitandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…