Iweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee iwe iiwe iiweeeeeeeeeee
Ndani ya serikali ya Tanzania nitahoji na kuuliza kila kitu kinachofanywa na watumishi wa serikali kwenye kila nyanja mbalimbali
ila tusi lanhu kubwa nitakalo watukana wafanya ubadhilifu na majuha ndani ya serikali itakuwa ni wendawazimu
ILA nina nipaka kwa watu wafuatao labda listi itaongezeka badae ila kwa sasa ni
1. Naheshimu mamlaka ya Raisi wa Jamuhuru wa Muungano wa TZ-Hivyo sitasema neno lolote JEMA/BAYA juu ya Raisi
2. Makamu wa Raisi
3. Waziri Mkuu wa Tanzania
4. Spika wa Bunge
5. Jeshi (tuna jeshi IMARA SANA)-NALIHESHIMU SANA JESHI LA TANZANIA
Ni kweli tunahitaji uwajibikaji lakini uwasilishaji wangu utakuwa na Mipaka juu ya viongozi tajwa hapo juu.
Cheo cha Biteko ni cha kupewa-yoyote atakae pewa huyo
asanteni.