GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Siasa ni umafia tu.
Huko CCM hawaaminiani.
wahuni wengi wako huko CCM wenye madili haramu, mafisadi yote yamejificha humo.

kinachoumiza wale wazalendo CCM ndiyo hao hawana nguvu yoyote ila wapo tu kimaslahi watafanyaje sasa?
 
Idara ya usalama wa ccm imejaa watu wenye IQ km waganga wa kienyeji tu..pili, "imebinafsishwa" mstaafu aliyebaki aliiweka sokoni kuibinafsisha ikanunuliwa..kwa sasa ina-operate kutokea huko ilikobinafsishwa..ndio hao wamejaa hapa jf na misemo mingi ya kiganga kuangalia matumbo yao na mmiliki wao.
 
Hakuna kitu atakipanga kisivuje

Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.

Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.

Tanganyika will be back

And Tanzania will shine again
 
Atakayeweza kumtuliza Kikwete atakuwa kaliokoa hili Taifa lisiangamie

Mzizi wa kukwama kwa Tanzania hii ya leo ni Kikwete.
Mbona kama tunamchukia Mzee wa watu bila sababu....utawala wake ulikua fair sana......sidhani kama anaweza kuwa anashauri haya mautekaji yanayoendelea.....wa kumlaumu labda ni mwendazake kwa kutokufanya voting ya kutosha kutuchagulia makamu....ndo kilichotufikisha hapa
 
Wewe ndio una macho lakini hutaki kuona. Yaani conveniently, huoni kuwa kateka, kaua, kapoteza watu wengi katika muda wake kuliko kipindi chochote?

Unakumbuka hadithi ya zamani marafiki wawili wakubwa walikosana baada ya mojawapo kumlisha mtoto wa mwenzake ugali na nzi wa kukaanga, hata kama baadaye alimchinjia ng'ombe, mbuzi n.k.?

Na ni nani mdini kama sio mtu yule anayezuia watu wa dini fulani kufanya ibada, kwa "kosa" la mtu mmoja, mtu yule akiwa wa dini ingine?
 
Wapi amekema utekaji? kwanini asilaumiwe kama rais mstaafu kwa ukimya ?
 
Hayati JPM alilisema hilo la kupewa Makamu wakati yeye alipendelea makamu wake awe Dr Mwinyi.

Tafuta video ipo YouTube.

JPM asilaumiwe kwenye hili.
 
Dua ya kuku...
 
I agree

Na yeye anachezeshwa ngoma ya wengine (hana tofauti na Samia kiuwezo).

Watu wana exploit kiherehere chake cha kupenda kuonekana influential kusukuma agenda.

Kuna watu wanachezesha pande mbili, halafu wao wataibuka kidedea. Inawezekana ni kwa sababu ya political ambitions za kuukwaa uraisi.

JK alitakiwa astaafu, kiherehere ndio kimemfikisha hapa kuchukiwa hivi.

Angekuwa influential Makamba asingekatwq Bumbuli.
 
What a coincidence.
Leo nimekuwa nikiwaza haya haya ya kukataa upuuzi huko ndani ya serikali.

Niliwazia 'specifically', vinyago vyake, kama yule Mkurugenzi wa TCRA; anayo madaraka gani ya kuamrisha chombo hicho kutumikia GENGE la wahuni hawa.

Nikawazia, waTanzania kwa ujumla wetu, Popote tuliPo huku mitaani, vijijini; kila mahali tulipo, kwa nini tuendelee kukubali watu wapuuzi kama hawa kutuyumbisha.
Tukatae, kila mahali tulipo; hawa hawana uwezo wa kuja na kutuua kwa kukataa ushenzi wao.
 
Cannot disagree more.
He's right in the thick of it to his neck!

Huyo huyo kwa kihelehele chake ndiye kamwibua huyu from obscurity; na kwa bahati mbaya sana kamfikisha hapa.

Kikwete ndiye mhusika mkuu wa haya tunayoyapitia sasa hivi.
 
Cannot disagree more.
He's right in the thick of it to his neck!

Huyo huyo kwa kihelehele chake ndiye kamwibua huyu from obscurity; na kwa bahati mbaya sana kamfikisha hapa.

Kikwete ndiye mhusika mkuu wa haya tunayoyapitia sasa hivi.
The ‘plot’ had thickened beyond his comprehension, he is just a puppet on the string.

Interesting to watch

Mind you ni nadharia tu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…