Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Watoto wa vigogo walishazoea pesa za serikali.Mkuu wengine tunatafuta milioni mbili tu tuwekeze tunajua lazima mambo Yanyooke. Wewe 33 bado hujapata cha kufanya.. Duuh
UnashangaaMil 2 biashara gani mzee
Unasumbuliwa na ugonjwa unaitwa "Analysis paralysis". Kuanzisha biashara from scratch inatakiwa moyo wa chuma kama hupo tayari ku risk Kwenye biashara excess cash pekee haiwezi kutoboa ni kama vile mtu asimamaye kwa mguu mmoja. Tafuta opportunities, kubali kuisoma na kuelewa, kisha risk kiasi upate experience then utakuwa ready to go.Ni muda wa miezi kadhaa, sasa niko na mtaji mkononi wa zaidi ya 40m nimejitahidi kutafuta biashara ya kufanya nimegonga mwamba.
Nimetafuta frame ili nianze biashara ya uwakala wa pesa, Bank Wakala na Mitandao ya simu. Nimekumbana na Kodi kubwa ya frame lakini pia location ya frame Kwa biashara husika haziendani kabisa, nimewaza kuuza nafaka Nako NILIFANYA analysis naona kama mtaji unaenda kudidimia huko, Nikawaza kilimo nikakumbuka kilishanizamisha mwaka juzi, Nikawaza nifungue duka la jumla nikawaza nani akae pale na faida yake huwa ni kidogo sana hii biashara, nikiangalia wanaofanya hawaendelei.
Nimejaribu kutoa mtaji kidogo nikampeleka mtu anunue mahindi Sumbawanga lakini wapi siku hizi mahindi hamna kule, Serikali imeingia hadi wilayani kukusanya mahindi.
Mpaka sasa naona mtaji kila siku unazidi kupungua, kila baada ya week naona milioni inaondoka hata sijui nafanyia Nini.
Kimsingi kwa Afrika hasa TZ kutunzia hela unaangalia si mchezo zinaisha bila kujua ulichofanya.
Na hii ikiisha sijui nitakuwa mtoto wa nani, juzi nilienda bank wakaniambia imebaki 33m.
Hapa sielewi kabisa.
Hakuna biashara isiyolipa hapa duniani, mitazamo yetu huwa inatukwamisha sana. Business can be ANYTHING.Pa1 mkuu.
experience is what makes us believe that every business can be profitable
Point.Hakuna biashara isiyolipa hapa duniani, mitazamo yetu huwa inatukwamisha sana. Business can be ANYTHING.
Ni biashara ya kutumia maarifa mkuu, nakwama pesa ya kupanua ofisi na kuongeza vitendea kazi kidogo. Si kila mmoja anaweza kuifanya maana imetokana na kipaji mkuuMil 2 biashara gani mzee
seems hujawahi shika pesa...maana unakipaji cha kupiga picha..ushamba mzigo.ishu yetu ni uthubutu wa kuanza biashara ngugu Lucha, sijui wewe Umelenga nini kwenye hilo swali mkuu? Na FYI, hio ni laki 5 na 30,
laki 3 ni hii chini
View attachment 2706213
Mleta mada amezungumzia kuanzisha biashara, wewe unazungumzia kupanua ofisi.Ni biashara ya kutumia maarifa mkuu, nakwama pesa ya kupanua ofisi na kuongeza vitendea kazi kidogo. Si kila mmoja anaweza kuifanya maana imetokana na kipaji mkuu
Kutafuta hela ndo utafute biashara ni changamoto sana kufanikiwa kwenye huu utaratibu.Ni muda wa miezi kadhaa, sasa niko na mtaji mkononi wa zaidi ya 40m nimejitahidi kutafuta biashara ya kufanya nimegonga mwamba.
Nimetafuta frame ili nianze biashara ya uwakala wa pesa, Bank Wakala na Mitandao ya simu. Nimekumbana na Kodi kubwa ya frame lakini pia location ya frame Kwa biashara husika haziendani kabisa, nimewaza kuuza nafaka Nako NILIFANYA analysis naona kama mtaji unaenda kudidimia huko, Nikawaza kilimo nikakumbuka kilishanizamisha mwaka juzi, Nikawaza nifungue duka la jumla nikawaza nani akae pale na faida yake huwa ni kidogo sana hii biashara, nikiangalia wanaofanya hawaendelei.
Nimejaribu kutoa mtaji kidogo nikampeleka mtu anunue mahindi Sumbawanga lakini wapi siku hizi mahindi hamna kule, Serikali imeingia hadi wilayani kukusanya mahindi.
Mpaka sasa naona mtaji kila siku unazidi kupungua, kila baada ya week naona milioni inaondoka hata sijui nafanyia Nini.
Kimsingi kwa Afrika hasa TZ kutunzia hela unaangalia si mchezo zinaisha bila kujua ulichofanya.
Na hii ikiisha sijui nitakuwa mtoto wa nani, juzi nilienda bank wakaniambia imebaki 33m.
Hapa sielewi kabisa.
Naomba Niazime hizo Kwa miezi 8 TU nikaongezee vinywaji katika Liquor Store yangu itakurudishia na faida kidogo.Ni muda wa miezi kadhaa, sasa niko na mtaji mkononi wa zaidi ya 40m nimejitahidi kutafuta biashara ya kufanya nimegonga mwamba.
Nimetafuta frame ili nianze biashara ya uwakala wa pesa, Bank Wakala na Mitandao ya simu. Nimekumbana na Kodi kubwa ya frame lakini pia location ya frame Kwa biashara husika haziendani kabisa, nimewaza kuuza nafaka Nako NILIFANYA analysis naona kama mtaji unaenda kudidimia huko, Nikawaza kilimo nikakumbuka kilishanizamisha mwaka juzi, Nikawaza nifungue duka la jumla nikawaza nani akae pale na faida yake huwa ni kidogo sana hii biashara, nikiangalia wanaofanya hawaendelei.
Nimejaribu kutoa mtaji kidogo nikampeleka mtu anunue mahindi Sumbawanga lakini wapi siku hizi mahindi hamna kule, Serikali imeingia hadi wilayani kukusanya mahindi.
Mpaka sasa naona mtaji kila siku unazidi kupungua, kila baada ya week naona milioni inaondoka hata sijui nafanyia Nini.
Kimsingi kwa Afrika hasa TZ kutunzia hela unaangalia si mchezo zinaisha bila kujua ulichofanya.
Na hii ikiisha sijui nitakuwa mtoto wa nani, juzi nilienda bank wakaniambia imebaki 33m.
Hapa sielewi kabisa.
Inawezekana ameziokotaUlizipataje hizo 40ml
Je hamna biashara ambayo ushawahi kufanya?
Hii chuma ulete ni kweli au soga?Uoga wako ndio umasikini wako.
Mimi niliingia kwenye biashara ya mikopo umiza bila kuhoji wala kufanya data collection.
Cha msingi nilijichunga na chuma uleteView attachment 2706206
Mkuu naombq nikupe taarifa nzuri lakini pengine inaweza ikakusikitisha, kwa nchi za ukanda wa Africa Mashariki, Kati na Kusini ( ndizo nchi nina uzoefu nazo zaidi), Tanzania ndio nchi unayoweza kufanya biashara ukafanikiwa sana ndani ya muda mfupi sana pengine kuliko nchi zilizosalia. Hii ni kutokana na mianya kwenye mifumo yetu ya udhibiti wa mapato na ufatiliaji wa biashara kwa ujumla, Kuna nchi nimefika hapa Afrika ukimpeleka mbongo afanye biashara pale hatoboi miezi 6 kutokana na mifumo na ufatiliaji wa kuanzia kodi hadi biashara yenyewe. Mungu akusaidie uweze kuthubutu kuanza, amini nakwambia kuthubutu tu ndio kitu umekosa Mkuu. Kila la heri!Ni muda wa miezi kadhaa, sasa niko na mtaji mkononi wa zaidi ya 40m nimejitahidi kutafuta biashara ya kufanya nimegonga mwamba.
Nimetafuta frame ili nianze biashara ya uwakala wa pesa, Bank Wakala na Mitandao ya simu. Nimekumbana na Kodi kubwa ya frame lakini pia location ya frame Kwa biashara husika haziendani kabisa, nimewaza kuuza nafaka Nako NILIFANYA analysis naona kama mtaji unaenda kudidimia huko, Nikawaza kilimo nikakumbuka kilishanizamisha mwaka juzi, Nikawaza nifungue duka la jumla nikawaza nani akae pale na faida yake huwa ni kidogo sana hii biashara, nikiangalia wanaofanya hawaendelei.
Nimejaribu kutoa mtaji kidogo nikampeleka mtu anunue mahindi Sumbawanga lakini wapi siku hizi mahindi hamna kule, Serikali imeingia hadi wilayani kukusanya mahindi.
Mpaka sasa naona mtaji kila siku unazidi kupungua, kila baada ya week naona milioni inaondoka hata sijui nafanyia Nini.
Kimsingi kwa Afrika hasa TZ kutunzia hela unaangalia si mchezo zinaisha bila kujua ulichofanya.
Na hii ikiisha sijui nitakuwa mtoto wa nani, juzi nilienda bank wakaniambia imebaki 33m.
Hapa sielewi kabisa.
Mkuu upo wapi na unaijua vizuri hii biashara? Mimi nina fresh za mikanda na maua ni used ila zina hali nzuri. Shida nimezifadhi kwa mtu halafu ni muda mrefu kama bado anazo tunaweza tukafanya jamboHapa natafuta 2Mil nifungue kiwanda changu cha mikanda ya Gypsum