Kuanzisha biashara ni jambo gumu sana kuliko kutafuta ajira

Mkuu wengine tunatafuta milioni mbili tu tuwekeze tunajua lazima mambo Yanyooke. Wewe 33 bado hujapata cha kufanya.. Duuh
Watoto wa vigogo walishazoea pesa za serikali.

Hata hizo 40M ni za mgao ndio maana hajui chakufanya.

Kijana mwenye uwezo wa kujitafutia na kufikiaha akiba angalau 5M ni mtu smart sana hawezi kosa cha kufanyia.
 
Ni muda wa miezi kadhaa, sasa niko na mtaji mkononi wa zaidi ya 40m nimejitahidi kutafuta biashara ya kufanya nimegonga mwamba.

Nimetafuta frame ili nianze biashara ya uwakala wa pesa, Bank Wakala na Mitandao ya simu. Nimekumbana na Kodi kubwa ya frame lakini pia location ya frame Kwa biashara husika haziendani kabisa, nimewaza kuuza nafaka Nako NILIFANYA analysis naona kama mtaji unaenda kudidimia huko, Nikawaza kilimo nikakumbuka kilishanizamisha mwaka juzi, Nikawaza nifungue duka la jumla nikawaza nani akae pale na faida yake huwa ni kidogo sana hii biashara, nikiangalia wanaofanya hawaendelei.

Nimejaribu kutoa mtaji kidogo nikampeleka mtu anunue mahindi Sumbawanga lakini wapi siku hizi mahindi hamna kule, Serikali imeingia hadi wilayani kukusanya mahindi.

Mpaka sasa naona mtaji kila siku unazidi kupungua, kila baada ya week naona milioni inaondoka hata sijui nafanyia Nini.

Kimsingi kwa Afrika hasa TZ kutunzia hela unaangalia si mchezo zinaisha bila kujua ulichofanya.

Na hii ikiisha sijui nitakuwa mtoto wa nani, juzi nilienda bank wakaniambia imebaki 33m.

Hapa sielewi kabisa.
Unasumbuliwa na ugonjwa unaitwa "Analysis paralysis". Kuanzisha biashara from scratch inatakiwa moyo wa chuma kama hupo tayari ku risk Kwenye biashara excess cash pekee haiwezi kutoboa ni kama vile mtu asimamaye kwa mguu mmoja. Tafuta opportunities, kubali kuisoma na kuelewa, kisha risk kiasi upate experience then utakuwa ready to go.
 
Hapa natafuta 2Mil nifungue kiwanda changu cha mikanda ya Gypsum
 
Watu wana mitaji na bado wanaionja joto ya jiwe kitaa , wanasota kuanzisha biashara kitaa
Halafu kuna fala mmoja aliyevimbiwa kwa pesa za walipa kodi masikini wa Bongo hapa kwa miaka mingi anawaambia vijana wasio hata na mitaji " vijana hawana vision, mara vijana tafuteni pesa " na kashfa nyingine kibao , mbwa kabisa
 
Ni biashara ya kutumia maarifa mkuu, nakwama pesa ya kupanua ofisi na kuongeza vitendea kazi kidogo. Si kila mmoja anaweza kuifanya maana imetokana na kipaji mkuu
Mleta mada amezungumzia kuanzisha biashara, wewe unazungumzia kupanua ofisi.
Kuna utofauti hapo.
 
Ni muda wa miezi kadhaa, sasa niko na mtaji mkononi wa zaidi ya 40m nimejitahidi kutafuta biashara ya kufanya nimegonga mwamba.

Nimetafuta frame ili nianze biashara ya uwakala wa pesa, Bank Wakala na Mitandao ya simu. Nimekumbana na Kodi kubwa ya frame lakini pia location ya frame Kwa biashara husika haziendani kabisa, nimewaza kuuza nafaka Nako NILIFANYA analysis naona kama mtaji unaenda kudidimia huko, Nikawaza kilimo nikakumbuka kilishanizamisha mwaka juzi, Nikawaza nifungue duka la jumla nikawaza nani akae pale na faida yake huwa ni kidogo sana hii biashara, nikiangalia wanaofanya hawaendelei.

Nimejaribu kutoa mtaji kidogo nikampeleka mtu anunue mahindi Sumbawanga lakini wapi siku hizi mahindi hamna kule, Serikali imeingia hadi wilayani kukusanya mahindi.

Mpaka sasa naona mtaji kila siku unazidi kupungua, kila baada ya week naona milioni inaondoka hata sijui nafanyia Nini.

Kimsingi kwa Afrika hasa TZ kutunzia hela unaangalia si mchezo zinaisha bila kujua ulichofanya.

Na hii ikiisha sijui nitakuwa mtoto wa nani, juzi nilienda bank wakaniambia imebaki 33m.

Hapa sielewi kabisa.
Kutafuta hela ndo utafute biashara ni changamoto sana kufanikiwa kwenye huu utaratibu.

Inatakiwa utafute biashara kwanza ndo utafute hela ya kuinject.
 
Ni muda wa miezi kadhaa, sasa niko na mtaji mkononi wa zaidi ya 40m nimejitahidi kutafuta biashara ya kufanya nimegonga mwamba.

Nimetafuta frame ili nianze biashara ya uwakala wa pesa, Bank Wakala na Mitandao ya simu. Nimekumbana na Kodi kubwa ya frame lakini pia location ya frame Kwa biashara husika haziendani kabisa, nimewaza kuuza nafaka Nako NILIFANYA analysis naona kama mtaji unaenda kudidimia huko, Nikawaza kilimo nikakumbuka kilishanizamisha mwaka juzi, Nikawaza nifungue duka la jumla nikawaza nani akae pale na faida yake huwa ni kidogo sana hii biashara, nikiangalia wanaofanya hawaendelei.

Nimejaribu kutoa mtaji kidogo nikampeleka mtu anunue mahindi Sumbawanga lakini wapi siku hizi mahindi hamna kule, Serikali imeingia hadi wilayani kukusanya mahindi.

Mpaka sasa naona mtaji kila siku unazidi kupungua, kila baada ya week naona milioni inaondoka hata sijui nafanyia Nini.

Kimsingi kwa Afrika hasa TZ kutunzia hela unaangalia si mchezo zinaisha bila kujua ulichofanya.

Na hii ikiisha sijui nitakuwa mtoto wa nani, juzi nilienda bank wakaniambia imebaki 33m.

Hapa sielewi kabisa.
Naomba Niazime hizo Kwa miezi 8 TU nikaongezee vinywaji katika Liquor Store yangu itakurudishia na faida kidogo.
 
Nilichojifunza kwenye biashara; ukianza/ukiingia kwenye biashara na mtaji mkubwa, ni rahisi sana kushindwa mapema kabisa. Ila ukiingia na mtaji mdogo, ni rahisi kufanikiwa.

Maana ukifanikiwa kuhimili mikiki mikiki na huo mtaji wako mdogo, baada ya miaka michache utaizoea hiyo biashara yako! Na ukishaizoea, ni rahisi sasa kugundua mapengo ya kujazia. Hapo sasa ukifanikiwa kupata mtaji mkubwa, unatoboa kwa urahisi sana.
 
Ni muda wa miezi kadhaa, sasa niko na mtaji mkononi wa zaidi ya 40m nimejitahidi kutafuta biashara ya kufanya nimegonga mwamba.

Nimetafuta frame ili nianze biashara ya uwakala wa pesa, Bank Wakala na Mitandao ya simu. Nimekumbana na Kodi kubwa ya frame lakini pia location ya frame Kwa biashara husika haziendani kabisa, nimewaza kuuza nafaka Nako NILIFANYA analysis naona kama mtaji unaenda kudidimia huko, Nikawaza kilimo nikakumbuka kilishanizamisha mwaka juzi, Nikawaza nifungue duka la jumla nikawaza nani akae pale na faida yake huwa ni kidogo sana hii biashara, nikiangalia wanaofanya hawaendelei.

Nimejaribu kutoa mtaji kidogo nikampeleka mtu anunue mahindi Sumbawanga lakini wapi siku hizi mahindi hamna kule, Serikali imeingia hadi wilayani kukusanya mahindi.

Mpaka sasa naona mtaji kila siku unazidi kupungua, kila baada ya week naona milioni inaondoka hata sijui nafanyia Nini.

Kimsingi kwa Afrika hasa TZ kutunzia hela unaangalia si mchezo zinaisha bila kujua ulichofanya.

Na hii ikiisha sijui nitakuwa mtoto wa nani, juzi nilienda bank wakaniambia imebaki 33m.

Hapa sielewi kabisa.
Mkuu naombq nikupe taarifa nzuri lakini pengine inaweza ikakusikitisha, kwa nchi za ukanda wa Africa Mashariki, Kati na Kusini ( ndizo nchi nina uzoefu nazo zaidi), Tanzania ndio nchi unayoweza kufanya biashara ukafanikiwa sana ndani ya muda mfupi sana pengine kuliko nchi zilizosalia. Hii ni kutokana na mianya kwenye mifumo yetu ya udhibiti wa mapato na ufatiliaji wa biashara kwa ujumla, Kuna nchi nimefika hapa Afrika ukimpeleka mbongo afanye biashara pale hatoboi miezi 6 kutokana na mifumo na ufatiliaji wa kuanzia kodi hadi biashara yenyewe. Mungu akusaidie uweze kuthubutu kuanza, amini nakwambia kuthubutu tu ndio kitu umekosa Mkuu. Kila la heri!
 
Mimi hadi sasa nilichojifunza ni kwamba biashara si mtaji mkubwa bali biashara ni jinsi gani ulivyojiandaa kabla.
Mtoa mada amepata hela nyingi kwa ghafla na hakujiandaa na mazingira ya kibiashara hiyo hali inampa hofu na kuhisi kila biashara atakayoigusa mtaji wake utateketea kwa sababu hakuwa na muda mwingi wa kuingia field na kufanya research ya kutosha.
Lakini kwa mtu aliyejiandaa vizuri na kupata uzoefu wa ujasiriamali vizuri hata akipata mtaji wa milioni 2 anatusua vizuri tu bila kubabaika.
 
Hapa natafuta 2Mil nifungue kiwanda changu cha mikanda ya Gypsum
Mkuu upo wapi na unaijua vizuri hii biashara? Mimi nina fresh za mikanda na maua ni used ila zina hali nzuri. Shida nimezifadhi kwa mtu halafu ni muda mrefu kama bado anazo tunaweza tukafanya jambo
 
Back
Top Bottom