Kuanzisha biashara ni jambo gumu sana kuliko kutafuta ajira

Mkuu biashara ya kutegemea ndugu utapigwa tu! Kama uko Dar unaweza tafuta centre nzuri ambako ndiko wanajengajenga sasa hivi weka vifaa vya ujenzi mfano cement, rangi, vifaa vya umeme n.k
 
Jenga Nyumba kwenye maji mkubwa , midogo au ya Kati kabla haijaisha. Hiyo pesa
 
Usifanye biashara zinazo involve TRA na maswala ya frame kama haujawahi kufanya biashara before, hautoamini macho yako. Biashara zina siri nyingi ambazo utazijua as days goes by.
 
Inategemea aina ya biashara unayopenda kufanya , kwa upande wangu napenda biashara yenye nature ya kukodisha mambo ya biashara kununua na kuuza ndio nataka kuanza sasa hivi . Kama upo dar unaweza nunua alphard around 20M utakuwa unakodisha , ila hakikisha unakata comprehensive insurance ili likitokea lolote unaweza kurecover hela , halafu hiyo hela ndogo ndogo utakayokuwa unapata sasa ndio anzisha biashara nyingine ndogo. Hapo utakuwa unaingiza hela mdogo mdogo ukijipata uza gari kafanye biashara utakayoona inafaa sasa
 
Yaani wewe kwanza ni limbukeni wa magari and it's more than clear kwamba hujawahi own magari kwenye maisha yako. Gari yeyote ile, either ya biashara au binafsi unanunua after having a running business inayo generate enough income kutosheleza mahitaji yako au una stable source of income. Gari kama gari haiwezi kukutengenezea faida na ikajipa huduma stahiki iendelee kukaa barabarani. Wenzako hizo Alphard wananunua ziwaongezee tu kakitu kadogo from their main hustles, they call it pocket money. Alafu comprehensive unadhani watu wanakata kata tu..? You still have a lot to learn on business kabla hujaanza kushauri watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…