Kubadilika kutoka “selected for oral interview” kuwa “shortlisted interview”

Kubadilika kutoka “selected for oral interview” kuwa “shortlisted interview”

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

hahhhhh selected for oral[emoji23]
Nasisi ambao imeandika NOT SELECTED FOR null unalipoti wapi au ndio tuendelee kusubiria PDF [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nasisi ambao imeandika NOT SELECTED FOR null unalipoti wapi au ndio tuendelee kusubiria PDF [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
😂😂😂😂Hahhhhh hapo nikulia nakugalagala mzee hapo umepita lakini upo data base
 
Hapana kule kwenye website siimeandika shortlisted mpaka asaivi?

Kwenye website imeandika shortlisted ila kwenye hapo ndio inayumba yumba ila naona sasa NOT SELECTED ndio imengangania. Ila kwa website ni shortlisted
 
Boss naomba nipe experience ya written interview za TRA , na vipi nijiandae maana siku si nyingi wataita tukafanye
Habari wakuu, poleni na majukumu. Siku ya leo nimeingia ajira portal na kukuta mabadiliko fulani nikashindwa kuelewa japo Hii ni mara yangu ya 7 kuomba kazi utumishi.

Kwa wale mliokuwa mkikubaliwa for oral interview, hivi ile sentence huwa inabadilika? Mfano kwenye picha nilizoambatanisha, mwanzo ilikuwa selected for oral interview na leo baada ya kuingia nimekuta shortlisted.

NB: tumekwisha kufanya oral interview ya TRA. Na baada ya kufanya nimekuta neno shortlisted na mwanzo ilikuwa selected for oral interview.

Mwenye ufahamu na hili tafadhali atujuze. Je ni kawaida kuwa hivyo au ni system tu imecheza kidogo
 
Kwenye website imeandika shortlisted ila kwenye hapo ndio inayumba yumba ila naona sasa NOT SELECTED ndio imengangania. Ila kwa website ni shortlisted
Upo data base mpaka hapo
 
Kwenye website imeandika shortlisted ila kwenye hapo ndio inayumba yumba ila naona sasa NOT SELECTED ndio imengangania. Ila kwa website ni shortlisted
Boss kwani kwenye website uwa wanaweka pia?
 
Hili la status ni kama siri yao yale jamaa ,hata tukiwauliza hakuna majibu mazuri cha Msing ni kusubir mkeka tu
 
Hili la status ni kama siri yao yale jamaa ,hata tukiwauliza hakuna majibu mazuri cha Msing ni kusubir mkeka tu
😂😂😂😂asaivi nikiingia oral lazima niwaulize nitawaletea feedback
 
Back
Top Bottom