Kubadilika kutoka “selected for oral interview” kuwa “shortlisted interview”

Mkuu tukumbuke haya :

Imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo. Ni bayana ya mambo yasiyoonekana. Imani kama chembe ya haradali inaeza kufanya mambo.
okay sawa lakini umeshawahi kuthibitisha kwa mtu ilikuwa shortlisted na kapata kazi?
 
Sema mie ndugu zangu kwa mshahara huoo achana na apartment mie lazima ninue gari kwanza jobless mie[emoji23][emoji23]

Hahaha! Kaka umenikumbusha mbali sana, kuna jamaa alipopata kazi tu, washauri wakajaa wengi kumwambia awe makini kwenye matumizi ya pesa, ikiwemo kuanza kwa kununua kiwanja na kujenga.

Aliwajibu wasimpangie maisha, yeye ataanza na vilivyomtesa sana kipindi hana kazi, na nyumba wala viwanja havijawahi kumtesa ila watu wenye magari walishamchukulia wanawake wawili aliokuwa nao kwenye mahusiano.

Kwa hiyo gari ndio cha kwanza kabla ya vyote, na kweli alifanya hivyo.
 
😂😂😂😂😂Hahhhhh eti anaanza na vilivyo mtesa daah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhhh eti anaanza na vilivyo mtesa daah

Hahaha! Kabisa Mkuu, muda huu ukiwa jobless ni lazima kuna vitu unaona vinakutesa sana na solusheni yake ni kupata kazi. Sasa jamaa alijiapiza hivyo ndivyo ataanza navyo.
 
😂😂😂Hapa naanza kuulizia bei za gari mzee hivi kisubaru kile bei gani? Hahhh
 
Na asipangiwe na mtu.

Ukiwa huna kazi, hata washauri wanakukimbia huwapati. Ila ukishapata tu, utashangaa kuna watu wanakusalimia bila sababu, ukiwasogeza karibu wanajipa nafasi kukushauri na kuona kila unachofanya unakosea kama hujawashirikisha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapa naanza kuulizia bei za gari mzee hivi kisubaru kile bei gani? Hahhh

Ila watakwambia Subaru sio ya kuanzia maisha kwa sababu inagharama nyingi na inakunywa mafuta sana. Au ndio tusikupangie Mkuu?
 
Na asipangiwe na mtu.

Ukiwa huna kazi, hata washauri wanakukimbia huwapati. Ila ukishapata tu, utashangaa kuna watu wanakusalimia bila sababu, ukiwasogeza karibu wanajipa nafasi kukushauri na kuona kila unachofanya unakosea kama hujawashirikisha.
😂😂😂😂Hahhhhh daaah hili ni jambo la muhimu sana tushikamane na walioambana nasi kipindi cha shida
 
Ila watakwambia Subaru sio ya kuanzia maisha kwa sababu inagharama nyingi na inakunywa mafuta sana. Au ndio tusikupangie Mkuu?
😂😂😂😂😂Msinipangie matumizi ya pesa zangu aseeh hahhhhhh
 
Back
Top Bottom