Kubadilika kutoka “selected for oral interview” kuwa “shortlisted interview”

Ila watakwambia Subaru sio ya kuanzia maisha kwa sababu inagharama nyingi na inakunywa mafuta sana. Au ndio tusikupangie Mkuu?
😂😂😂😂Umefanya nicheke aseeeh Kwamba msinipangie jobless mimi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhhh daaah hili ni jambo la muhimu sana tushikamane na walioambana nasi kipindi cha shida

Yani kabisa Mkuu, hao watu wanaokuheshimu muda huu ukiwa jobless siku ukitokea kweupe usiwasahau, hata kama hawajasoma.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umefanya nicheke aseeeh Kwamba msinipangie jobless mimi

Jobless akipenya kwenye pipa la asali huwa bado anakuwa na sumu nyingi alizozibeba kutokana na mateso aliyopitia wakati wa utafutaji wa ajira.

Kwa haraka haraka, hakuna binadamu mgumu sana kushaurika kama jobless aliyetoka kupindua meza na kuingia kwenye ajira, huyu anatakiwa aachwe kwanza apoe, hata kama anachezea pesa aachwe, baada ya muda akishajikuta ameharibu mambo mengi ndipo akili inakaa sawa sasa anashaurika.
 
😂😂😂😂😂Hahhhh daaah halafu kweli kiongozi nafikiri jobless wanakuwa na mateso sana moyoni mwao kwahiyo mpaka moyo upone ndo anaanza kufanya vyakueleweka
 
Jobless akipenya kwenye pipa la asali huwa bado anakuwa na sumu nyingi alizozibeba kutokana na mateso aliyopitia wakati wa utafutaji wa ajira.

Kwa haraka haraka, hakuna binadamu mgumu sana kushaurika kama jobless aliyetoka kupindua meza na kuingia kwenye ajira, huyu anatakiwa aachwe kwanza apoe, hata kama anachezea pesa aachwe, baada ya muda akishajikuta ameharibu mambo mengi ndipo akili inakaa sawa sasa anashaurika.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sure kabisa
 
Hahaha! Kaka umenikumbusha mbali sana, kuna jamaa alipopata kazi tu, washauri wakajaa wengi kumwambia awe makini kwenye matumizi ya pesa, ikiwemo kuanza kwa kununua kiwanja na kujenga.

Aliwajibu wasimpangie maisha, yeye ataanza na vilivyomtesa sana kipindi hana kazi, na nyumba wala viwanja havijawahi kumtesa ila watu wenye magari walishamchukulia wanawake wawili aliokuwa nao kwenye mahusiano.

Kwa hiyo gari ndio cha kwanza kabla ya vyote, na kweli alifanya hivyo.
Gari kwanza mkuu 🤣🤣🤣 nyumba nitajenga tu baada ya gari
 
Hahaha! Kaka umenikumbusha mbali sana, kuna jamaa alipopata kazi tu, washauri wakajaa wengi kumwambia awe makini kwenye matumizi ya pesa, ikiwemo kuanza kwa kununua kiwanja na kujenga.

Aliwajibu wasimpangie maisha, yeye ataanza na vilivyomtesa sana kipindi hana kazi, na nyumba wala viwanja havijawahi kumtesa ila watu wenye magari walishamchukulia wanawake wawili aliokuwa nao kwenye mahusiano.

Kwa hiyo gari ndio cha kwanza kabla ya vyote, na kweli alifanya hivyo.
Umenifanya nicheke sna ,yan hawakumshauri jins ya kuwakanda utumishi.wanaona katoboa wanamwmbia awe makin na pesa
 
😂😂😂😂Wanampangia matumizi ya pesa zake hahhh
 
Kila mchakato ni shida tu mpk ukitoboa oral huna amani bongo bahati mbaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kila hatua ni balaa tu yaani hapo mpk tufike nikiipata hela nisipangiwe matumizi kwa style hii [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
😂😂😂😂😂Unikute natumia hela zangu halafu unipangie aseeh tutagombana kinoma yani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unikute natumia hela zangu halafu unipangie aseeh tutagombana kinoma yani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasahivi hawajui tunayopitia
 
Back
Top Bottom