Kubadilika kutoka “selected for oral interview” kuwa “shortlisted interview”

Kubadilika kutoka “selected for oral interview” kuwa “shortlisted interview”

Ila we kijana si ushakula Asali tayar.. kwani kule veta Diploma tutor anapigwa pesa ngapi..?
Uhakika siku wakinitaa kuhusu pesa Sijui hata shingapi mkuuu kwa kweli sijui laki ngapi anayejua atuambie kwa kweli nimegoogle mshahara wa veta mpka nimechoka
 
Uhakika siku wakinitaa kuhusu pesa Sijui hata shingapi mkuuu kwa kweli sijui laki ngapi anayejua atuambie kwa kweli nimegoogle mshahara wa veta mpka nimechoka
Kwa haraka huwezi kukosa kilo 8.. naona Si haba ukitokea Joblessness
 
😂😂😂😂Hahhhh jobless inatakiwa ujipoze kwenye gari bhna
Jobless sijaoa na Wala Sina majukumu ya kutisha kweli eti Miaka miwili mzeee nikose Hela ya gari dah basi itakua nahonga sana 🤣🤣
 
Na mara nyingi hiz nafasi za Vyuo Tutorial Assistant hazinaga Kanzidata.. maana hata Usaili wake unakuwa na presentation.. hawawez kuchukuwa tu mtu aliyefanya interview ya kawaida.. Changamoto nyingi ipo kwenye GPA zinazohitajika.. Kuna mtu anaweza kuwa in database Ila GPA yake ni 2.5.. hawezi kutoboa TA tena UDSM🤔🤔

UDSM wako So strictly kwenye mambo za GPA.. niliona hata Normal Staff(Technicians) kwenye mkeka wa kazi uliotolewa mwezi July... Wanataka kuanzia LOWER UPPER SECOND kwa FTC yoyote, tena unaweza Kuta kwenye selection/Shortlisted wakachukuliwa 3.5+
Nakupinga mkuu kila kazi utumishi lazima kuwe na kanzidata kwakua tutorial assistant hazijatangazwa muda mrefu huenda ndomana unasema ivoushahidi ninao miaka ya nyuma kuna mtu kaitwa kupitia kanzidata tena tutorial assistant cha msingi ukiona mwaka umepita tangu ufanye usaili hujaitwa ujue imekula kwako
 
Uhakika siku wakinitaa kuhusu pesa Sijui hata shingapi mkuuu kwa kweli sijui laki ngapi anayejua atuambie kwa kweli nimegoogle mshahara wa veta mpka nimechoka
Wanascale zao hao ninngumu kujua mshahra wao labda mpaka mtu wan ndani aseme
 
Mkuu hii notification ni kwa wote haina impact yoyote . Wakiondoa kule kwenye website yao list ya walioitwa kufanya usahili na kwenye account huwa zinaondoka inabaki hiyo shortlisted Kwa Kumbukumbu zako na zao.
Baada ya muda tena inabadilika kutoka shortlisted kwenda selected for oral interview tena
 
Back
Top Bottom