Kubadilika kutoka “selected for oral interview” kuwa “shortlisted interview”

Kubadilika kutoka “selected for oral interview” kuwa “shortlisted interview”

Hv hii wakuu inaitwaje hii.. weka Maneno 😂😂😂
Screenshot_20221016-232737_1.jpg
 
Lazima watangaze mara ya pili
Na mara nyingi hiz nafasi za Vyuo Tutorial Assistant hazinaga Kanzidata.. maana hata Usaili wake unakuwa na presentation.. hawawez kuchukuwa tu mtu aliyefanya interview ya kawaida.. Changamoto nyingi ipo kwenye GPA zinazohitajika.. Kuna mtu anaweza kuwa in database Ila GPA yake ni 2.5.. hawezi kutoboa TA tena UDSM🤔🤔

UDSM wako So strictly kwenye mambo za GPA.. niliona hata Normal Staff(Technicians) kwenye mkeka wa kazi uliotolewa mwezi July... Wanataka kuanzia LOWER UPPER SECOND kwa FTC yoyote, tena unaweza Kuta kwenye selection/Shortlisted wakachukuliwa 3.5+
 
Na mara nyingi hiz nafasi za Vyuo Tutorial Assistant hazinaga Kanzidata.. maana hata Usaili wake unakuwa na presentation.. hawawez kuchukuwa tu mtu aliyefanya interview ya kawaida.. Changamoto nyingi ipo kwenye GPA za zinazohitajika.. Kuna mtu anaweza kuwa database Ila GPA yake ni 2.5.. hawezi kutoboa TA tena UDSM🤔🤔

UDSM wako So strictly kwenye mambo za GPA.. niliona hata Normal Staff(Technicians) kwenye mkeka wa kazi uliotoa mwezi July... Wanataka kuanzia LOWER UPPER SECOND kwa FTC yoyote, tena unaweza Kuta kwenye selection wakachukuliwa 3.5+
TA ni ngumu sana kukaa data base maana kwanza hutangazwa mpaka miaka ipite ndo zije zitokee tena
 
TA ni ngumu sana kukaa data base maana kwanza hutangazwa mpaka miaka ipite ndo zije zitokee tena
Hv mkuu pale UDSM TA analamba pesa ngapi..?
Au scale yake ipoje..?
 
Hv mkuu pale UDSM TA analamba pesa ngapi..?
Au scale yake ipoje..?
Sina hakika lakini Kuna jamaa aliniambia anakula 1.6m yeye ana bachelor ya miaka mitatu wale wa miaka minne na mitano sijui ni ngapi
 
Sina hakika lakini Kuna jamaa aliniambia anakula 1.6m yeye ana bachelor ya miaka mitatu wale wa miaka minne na mitano sijui ni ngapi
Tufanye Makato ni Laki 3 net.. hakosi 1.3 take home.. ndani ya mwaka unajenga apartment ya maana tu😁
 
Tufanye Makato ni Laki 3 net.. hakosi 1.3 take home.. ndani ya mwaka unajenga apartment ya maana tu😁
😂😂😂😂Hahhhhh daaah mzee unamipango yakupindua nchi wewe hahhhh kiapartment fulani ivi
 
😂😂😂😂Hahhhhh daaah mzee unamipango yakupindua nchi wewe hahhhh kiapartment fulani ivi
Hyo ni mipangao tu ya kawaida.. Sasa uta-rent kwenye nyumba za watu Hadi lini...? Lazima ujibanene upate kiapartment chako
 
Tufanye Makato ni Laki 3 net.. hakosi 1.3 take home.. ndani ya mwaka unajenga apartment ya maana tu😁
Sema mie ndugu zangu kwa mshahara huoo achana na apartment mie lazima ninue gari kwanza jobless mie😂😂
 
Back
Top Bottom