Kubadilika kutoka “selected for oral interview” kuwa “shortlisted interview”

KwHyo wadau ipi ni bora kati ya SHORTLISTED OR SELECTED FOR ORAL binafs naona wazinguaji tu hawa na hiz status bora kusubiri jamvi la Placement tu
 
Nadhani mkeka ndo unatoa jibu la mwisho sema swala la ajira nimeshaona ni mipango ya Mungu mzee kwahiyo tuombeane tu
 
Hujawahi itwa kupitia kanzidata mkuu maana oral si ulishaingia kama hujafikisha mwaka tangu ufanye interview endelea kusubiri tu mi nina wadau wangu kama wanne kuna mkeka wa juzi wamepata kazi kupitia kanzidata so huwezi kujua
Bado sijawahi kuitwa kwa data base maana oral ya mwisho nilipiga mwaka jana na hizi zingine nimefanya mwaka huu ndo nasubiri hizo mkuu
 
KwHyo wadau ipi ni bora kati ya SHORTLISTED OR SELECTED FOR ORAL binafs naona wazinguaji tu hawa na hiz status bora kusubiri jamvi la Placement tu
Wazee wa shortlisted naona wanashinda 1-0 mpk ss 🤣🤣
 
Back
Top Bottom