Kubadilishiwa na kucheleweshewa mkopo kwa Wanafunzi wa elimu ya juu sio haki

Nyongeza ya Ada ni kwa wale under 2.0 gpa
 
Siasa ichezwe Sasa maan wahuni wanakula disco first year ,Ada hakuna ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
SIPA hazioneshi kitu nadhan ni baadhi ya chuo na kozi
 
If chuo ni vibungo hawana gpa za 4 ,bhas msala๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Sawa sawa ila haiathiri kutoongezewa Ada asilimia 100%?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ