Kubagua Mwanza na Mbeya AFCON haikubaliki

Kubagua Mwanza na Mbeya AFCON haikubaliki

Kimsingi akili Yako ni finyu kama funza ndio maana huwezi nielewa.
Mbona nakuelewa sana tu. Wewe ni Effin Bigoted, Racist twaat. Wewe ni kibaraka,Wakala na Dalali wa Mabeberu.

Nakuelewa sana ndio, maana naweza kukudadavua na kuingia kwenye bongo lako dhalimu kama funza!

Ngoja funza akung'ate ng'ate....ng'amu!
 
Ni mikoa iliyokaa kistrategia pia kwa kuwa ni rahisi kupata mashabiki wa nchi jirani nyingi kwa gharama nafuu kiusafiri. Ni rahisi kuifikia Mwanza kwa mashabiki kutoka Uganda, Kenya, Rwanda, Burundi, Kongo DRC (upande wa Kaskazini Magharibi na hata baadhi ya maeneo ya Tanganyika Province), Sudani ya Kusini. Kadhalika ni rahisi kwa mashabiki kutoka Zambia, Malawi, Kongo DRC Mashariki, Zimbabwe, Msumbiji, Namibia, Botswana, na hata Afrika Kusini.
Hili wazo hawakulifikiria kabisaa.
 
Arusha choka mbaya,nikifikaga Stendi yake ya Mabus nawaza Nipo kakonkoo....Arusha ni senta iliyochangamka mji unanika Bangiii
Stand sio hoja. Arusha huwezi kufananisha na Mwanza. Arusha ndio kitovu cha utalii nchi hii. Hata nilipokuwa USA ukiuliza mzungu kuhusu Tanzania anaitaja Arusha, Dar na Zanzibar kwingine hamjulikani.
 
Hii tabia ya kubagua Mikoa ya Mbeya na Mwanza kwenye mambo ya Maendeleo naona imeanza kukita mizizi.

Wakati mikoa mingine ikipendelewa sie Mwanza na Mbeya tumekuwa wahanga wa kutengwa na Kubaguliwa kwenye masuala mbalimbali ya kimaendeleo licha ya kuwa tunastahili kwa vigezo na sio kwa kuonewa huruma.

Haiwezekani na haiingii akilini eti kubagua miji hii maarufu kwa wanamichezo na badala yake wakaipendelea miji isiyo na mashabiki wala wanamichezo ya Arusha na Dodoma.

Nasisitiza tunadai haki yetu na sio favour kwa sababu zifuatazo;

Mwanza
  • Mikoa wa pili kuchangia Pato la Taifa GDP baada ya Dar.
  • Jiji la Pili kuwa na population kubwa baada ya Dar.
  • Jiji la 3 Kuchangia Mapato ya Kikodi.
  • Uwepo wa mashabiki wa kutosha na wanamichezo.

Mbeya
  • Mikoa wa 3 kuchangia Pato la Taifa nyuma ya Dar na Mwanza.
  • Jiji la 6 Kwa idadi ya watu Tanzania.
  • Jiji la 2 Kwa Wanamichezo wengi kama timu za NBC&Championship.
  • Pamoja na mtoto Wetu Songwe ni Mkoa wa 4 Kwa mapato ya Kikodi.

Kwa vigezo hivyo pekee tunastahili kupata kitu sio kwa upendeleo bali kwa haki.

Habari za kusema hakuna hoteli au miundombinu ya kisasa na blaa blaa kama hizo zinatokana na Serikali hii ya ccm kuchukua pesa na jasho letu kwenda kujenga Mikoa mingine kama Arusha, Dodoma, Tanga, Dar nk.

Ni aidha Serikali ianze ujenzi wa viwanja vya Kisasa kwenye miji yetu kutufuta machozi na sio lazima kwa ajili ya AFCON bali kutupa heshima yetu kwenye michezo au tumwage mboga 2025.

Hali hii haivumiliki na haikubaliki, ni wakati wa watu wa Kanda ya Ziwa na Nyanda za Juu Kusini kufanya jambo la kujitambua mwaka 2025 endapo wataziba maskio.

Ni bora kumwaga mboga sio kwa sababu tunawakubali Wapinzani bali ni kwa nia ya kukomoana kwamba tukose wote, tumechoka kutengwa na tabia hii ikiendelea ipo siku tutagawana fito.
View attachment 2766050View attachment 2766051View attachment 2766052

Angalizo: Haya ni maoni na mtizamo binafsi, yasichukuliwe kama uchochezi.Nachokonoa mada Kwa maslahi mapana ya Nchi hii na watu wa Mbeya na Mwanza.
Leo umeandika madini yaliyigusa moyo na mifupa yangu, kila muda nakaa natafakari hivi Mwanza tuliikosea nini hawamu hii, Mwanza ni ya pili kwa population, ni ya pili kwa mapato ghafi yaani GDP, pia ni jiji la pili kwa ukubwa, ukiangalia kijiografia ni jiji lililopakana na maji mikubwa kama kigali, kampala, Nairobi n.k.. Kushindwa kupewa nafasi ya kuandaa haya mashindano naona ni chuki ya wazi ukiacha dar Mwanza ndio mkoa wenye mashabiki wengi wa mpira, bali wamejisaulisha kupeleka mashindano kwenye miji yao pendwa ya Dar, arusha, Zanzibar na Dodoma basi wangetenga hata pesa kwaajili ya ujenzi wa viwanja vya kisasa kwenye miji mingine kama Mwanza na Mbeya

Uchaguzi ukikaribia hawa mbuzi kutwa nzima kujipendekeza kanda ya ziwa, miradi ya kimataifa inapelekwa kwenye mikoa pendwa Mwanza na Mbeya inapelekewa miradi ya kilocal kams ujenzi wa vyoo na madarasa, miradi mikubwa ujenzi wa arena, international conference tunaisikia tu...Hawataki miji yetu ipate miradi ya kimataifa, leo wanasema ingepelekwa Mwanza lakini hakuna miundombinu ya barabara mara hakuna mahotel kwahiyo barabara hazijengwi ili miradi mikubwa ikija iwe sababu......
 
Stand sio hoja. Arusha huwezi kufananisha na Mwanza. Arusha ndio kitovu cha utalii nchi hii. Hata nilipokuwa USA ukiuliza mzungu kuhusu Tanzania anaitaja Arusha, Dar na Zanzibar kwingine hamjulikani.
Iliibuka from no where na kuanza kujulikana?
 
Ilijaaliwa na alieumba dunia. Mwanza na Mbeya pia kuna stahili hivi vitu ila hebu wekezeni kwenye miuondombinu wezeshi kwanza.
Ilijaaliwa nini wakati ni Juhudi za makusudi za upendeleo wa wazi wazi?

Hiyo miundombinu ni kazi ya nani kuwekeza?
 
Arusha ni mji bora na uliondelea kuliko mwanza. na ni mji wenye infrastructures bora kuliko Mwanza na mbeya combined.
Mimi nilitamani iwe Arusha, Dar na Zanzibar. Hiyo mikoa mingine imekaa kushoto.
Dodoma imekaa kushoto sana na umasikini ni kkubwa
 
hawafanyi ukarabati weee kima wanajenga uwanja mpya
Huo uwanja mpya unajengwa wapi kwanini mnakuwa waongo sana, washindwe kujenga kwenye miji yao pendwa wajenge Mwanza.
 
Stand sio hoja. Arusha huwezi kufananisha na Mwanza. Arusha ndio kitovu cha utalii nchi hii. Hata nilipokuwa USA ukiuliza mzungu kuhusu Tanzania anaitaja Arusha, Dar na Zanzibar kwingine hamjulikani.
Mnaonaje kama arusha, dar na zanzibar mkiwa na nchi yenu pamoja na pwani na mkaachana na sisi mikoa yakina kajamba nani tuunde serikali yetu.
 
Mnaonaje kama arusha, dar na zanzibar mkiwa na nchi yenu pamoja na pwani na mkaachana na sisi mikoa yakina kajamba nani tuunde serikali yetu.
Nyie sindio wapuuzi ambao mnachagua CCM kila siku kwa kupewa sahani ya ubwabwa na kofia?
 
Back
Top Bottom