Unge atttach barua ikimteua uyu bi dada kuwa msemaji wa chadena, otherwise mlichokiandika ni kichafu na cha ovyo zaidi ya... UHAROHivi Chadema wameridhika kabisa kumpa Mange kimambi umbea wa kuandika Instagram? HawaoniChama kinadhalilika?
mimi mara ya kwanza kuusikia na waliokuwa wanauzungumzia nikaona kama ni mtandao wa ubishooubishoo, umbeaumbea,ubitozi na ulimbukeni,kuuza sura, na kwa kutafutia michepuko na michepushwa.Wew umenena vyema...hua naona kama page/ mtandao wa kike....sorry for insta users as no offense intended