Kubali ukatae, Makonda ndio Rais ajae Tanzania baada ya Samia

Labda Rais wa wenye makalio makubwa
 
Sawa tumekusikia. Nguvu ya Makonda ipo kwenye uteuzi basi, asipoteuliwa anakuwa nothing.
 
Nilishasema iki kitu umu naona mods wamefuta uzi wangu ila haina noma
 
Nchi za hovyo yeyote anaweza kuwa Rais maana hawaoni madhara ya kuwa na viongozi wa ajabu ajabu kwenye nafasi muhimu.
 
Nilishatabiri hili, Makonda ndiye rais kama kuna nabii au msoma nyota akacheki hii, nakama utajipanga kuharibu utaharibiwa wewe.
Upcoming president Makonda
 
Let’s be serious hata kwa sekunde moja watanzania
 
Uzushi wako huu hautomharibia chochote mama yetu.......ndo kwanza ataendelea kung'ara
 
Uzushi wako huu hautomharibia chochote mama yetu.......ndo kwanza ataendelea kung'ara

uzushi upi kwamba hakumsema na kumponda Magufuli mbele ya Ikuku ya USA na Kamala Harris? Au ni unamaanisha uzushi upi?
 
Ngoja niombee Mungu kwa bidii juu yake, ili nijue ili linauhakika...

Nilionyeshwa Rais ni mwanaume ila jina sikuona ila nilionyeshwa atatoka katika kabila dogo...

Na wengi watashangazwa...

Basi naomba Roho Mtakatifu anionyeshe
 
Labda Laisi..,
 
Hana degree kama katiba inavotaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…