124 Ali
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 7,813
- 5,514
Tena hiyon"equlizer"si yankitoto!Kweli ana "eq" kubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena hiyon"equlizer"si yankitoto!Kweli ana "eq" kubwa
Labda rais wa misaburi yako!1. Ana nyota ya kupendwa na wafalme( viongozi wakuu wa nchi )
J.k alimteua.
J.p.m amemteua.
N.a. sasa Samia amemteua.
2. Haogopi ( Yupo kama wajina wake King David )
3.Ana element zote za umagufuli a lot of Magufuli minions see a lot of Magufuli in Paul Makonda.
4. He has a threatening aura inayo mfanya aogopwe na viongozi walio chini yake na wananchi kwa ujumla jambo ambalo ni muhimu kwa kiongozi yoyote hasa wa nchi ya kiafrika kama.alivyo sema Joseph Stallin alie wahi kuwa Rais wa USSR kwamba " i do rather be feared than loved"
Fear goes hand in hand with respect.
5. Ana eq kubwa sana. Kwa kashfa alizopewa Makonda angekuwa mtu mwenye eq ndogo angekuwa pengine amesha kufa.
6. Ni jemedari wa vita: ameshindana vita nyingi na kuvishinda.. vita vya nyama na vita cha rohoni.
Mfano we vita vya nyama = Makonda vs wauza dawa za kulevya. Makonda anabaki kuwa kiongozi pekee duniani ambae ameshindana na wauza dawa za kulevya na akaendelea kusurvive.
Vita vya rohoni = Gwjima akiwa live madhabahuni pake alimfuta katika ulimwengu wa siasa Paul Makonda lakini Makonda huyo bado anadunda jambo linalo dhihirisha nguvu ya Makonda katika ulimwengu wa roho. Ikumbukwe kuwa huyu Gwajima sio mtoto mdogo katika ulimwengu wa roho . Anatajwa kuwa mtu mwenye nguvu nyingi sana kwa upande huo. Huko mtaani kuna Tetesi kwamba hata yule kiongozi wa kiroho wa kanisa lile wanao vaa nguo nyeupe ambao waamini wake wana amini alipaa mbinguni ni Gwajima ndio ali" muua" katika ulimwengu wa roho. Inasemekana mdogo wake Gwajima alikuwa anasali kwenye kanisa la kiongozi huyo wa kiroho then siku moja wakaenda hija, wakiwa hija mdogo wake Gwajima pamoja na baadhi ya waamini wakapoteza maisha katika hali ya kutatanisha. Gwajima akampigia simu kiongozi huyo na kumwambia " ulicho mfanyia mdogo wangu ndio tutafanyiwa hivyo hivyo. Few days later kiongozi huyo akafa pia. So tunapo mtaja Gwajima jua tunamtaja mtu ambae ni giant katika ulimwengu wa roho. Lakini pamoja na yote hayo kamshindwa Makonda. Sawa hivi katika protocols za ccm, Makonda ni mkubwa kuliko Gwajima.
Ukitazama kinacho endelea katika maisha ya kisiasa ya Makonda unaweza kusema kwamba kwa sasa Makonda ana iishi ile Zaburi inayo sema " Bwana atafanya meza yangu machoni pangu mbele ya watesi wangu"
Itoshe kusema kwamba.Mungu wa Makonda ni mkubwa sana...
Watu aina ya Makonda ndio watu wanao pataga wafuasi watiifu kwa sababu siku zote watu huwa wanapenda kuwa wafuasi wa mtu asie ogopa na alie shinda vita nyingi kama.Makonda.. na sio mtu sijui mwenye PHD blah blah blah.
Kila sehemu anako pita watu wanamuona Makonda kama mtetezi wao au mtatuzi wa shida zao.
Mark my words Makonda atakuja kuwa Rais wa nchi hii ama baada ya Samia au baada ya Rais atakae kuja baada ya Samia.
CREDIT: UKURASA WA INSTAGRAM NA FACE BOOK wa LIKUD WA JAMII FORUMS.
CC: LIKUD
Namubaliana na wewe Tanganyika mtu yoyote anaweza kuwa Rais1. Ana nyota ya kupendwa na wafalme( viongozi wakuu wa nchi )
J.Kalimteua.
J.P.M amemteua.
Na sasa Samia amemteua.
2. Haogopi ( Yupo kama wajina wake King David )
3. Ana element zote za umagufuli a lot of Magufuli minions see a lot of Magufuli in Paul Makonda.
4. He has a threatening aura inayo mfanya aogopwe na viongozi walio chini yake na wananchi kwa ujumla jambo ambalo ni muhimu kwa kiongozi yoyote hasa wa nchi ya kiafrika kama alivyo sema Joseph Stallin alie wahi kuwa Rais wa USSR kwamba "I do rather be feared than loved"
Fear goes hand in hand with respect.
5. Ana EQ kubwa sana. Kwa kashfa alizopewa Makonda angekuwa mtu mwenye EQ ndogo angekuwa pengine amesha kufa.
6. Ni jemedari wa vita: ameshindana vita nyingi na kuvishinda. Vita vya nyama na vita cha rohoni.

1. Ana nyota ya kupendwa na wafalme( viongozi wakuu wa nchi )

PA1Naunga mkono hoja.
Hakuna kitu kama hicho!Hii nchi inahitaji mfumo imara zaidi ya kuhitaji mtu imara, mfumo ukiwa imara hata kiuongozi akiwa m bovu maisha yanaenda tu.
Mtajua wenyeweHakuna kitu kama hicho!
Yes kujiamini ni kitu ambacho watanzania wengi hawana. Wewe hata kama una PHD lakini huiiamini basi PHD yako ni taka taka mbele ya darasa la saba anae jiaminiUnajua kimchezo mchezo huyu jamaa anaweza kuja kuchukua nchi na zero ya form four yake? Jamaa anachowashinda wana CCM wenzake ni kujiamini!
Ingekuwa box la kura ndo linaamua nani awe Rais ndo angeupa ila kwavile Kuna kikundi kinacho amua huyo awezi pewaUnajua kimchezo mchezo huyu jamaa anaweza kuja kuchukua nchi na zero ya form four yake? Jamaa anachowashinda wana CCM wenzake ni kujiamini!
Before I pronounce it easly rubbish,naomba alete vyeti vyake vya "fomfo" na atuthibitishie umma kwamba,he goes originally by the name "Daudi Albert Bashite"!🤔1. Ana nyota ya kupendwa na wafalme( viongozi wakuu wa nchi )
J.Kalimteua.
J.P.M amemteua.
Na sasa Samia amemteua.
2. Haogopi ( Yupo kama wajina wake King David )
3. Ana element zote za umagufuli a lot of Magufuli minions see a lot of Magufuli in Paul Makonda.
4. He has a threatening aura inayo mfanya aogopwe na viongozi walio chini yake na wananchi kwa ujumla jambo ambalo ni muhimu kwa kiongozi yoyote hasa wa nchi ya kiafrika kama alivyo sema Joseph Stallin alie wahi kuwa Rais wa USSR kwamba "I do rather be feared than loved"
Fear goes hand in hand with respect.
5. Ana EQ kubwa sana. Kwa kashfa alizopewa Makonda angekuwa mtu mwenye EQ ndogo angekuwa pengine amesha kufa.
6. Ni jemedari wa vita: ameshindana vita nyingi na kuvishinda. Vita vya nyama na vita cha rohoni.
Mfano we vita vya nyama = Makonda vs wauza dawa za kulevya. Makonda anabaki kuwa kiongozi pekee duniani ambae ameshindana na wauza dawa za kulevya na akaendelea kusurvive.
Vita vya rohoni = Gwjima akiwa live madhabahuni pake alimfuta katika ulimwengu wa siasa Paul Makonda lakini Makonda huyo bado anadunda jambo linalo dhihirisha nguvu ya Makonda katika ulimwengu wa roho. Ikumbukwe kuwa huyu Gwajima sio mtoto mdogo katika ulimwengu wa roho . Anatajwa kuwa mtu mwenye nguvu nyingi sana kwa upande huo. Huko mtaani kuna Tetesi kwamba hata yule kiongozi wa kiroho wa kanisa lile wanao vaa nguo nyeupe ambao waamini wake wana amini alipaa mbinguni ni Gwajima ndio ali" muua" katika ulimwengu wa roho. Inasemekana mdogo wake Gwajima alikuwa anasali kwenye kanisa la kiongozi huyo wa kiroho then siku moja wakaenda hija, wakiwa hija mdogo wake Gwajima pamoja na baadhi ya waamini wakapoteza maisha katika hali ya kutatanisha. Gwajima akampigia simu kiongozi huyo na kumwambia " ulicho mfanyia mdogo wangu ndio tutafanyiwa hivyo hivyo. Few days later kiongozi huyo akafa pia. So tunapo mtaja Gwajima jua tunamtaja mtu ambae ni giant katika ulimwengu wa roho. Lakini pamoja na yote hayo kamshindwa Makonda. Sawa hivi katika protocols za ccm, Makonda ni mkubwa kuliko Gwajima.
Ukitazama kinacho endelea katika maisha ya kisiasa ya Makonda unaweza kusema kwamba kwa sasa Makonda ana iishi ile Zaburi inayo sema " Bwana atafanya meza yangu machoni pangu mbele ya watesi wangu"
Itoshe kusema kwamba.Mungu wa Makonda ni mkubwa sana...
Watu aina ya Makonda ndio watu wanao pataga wafuasi watiifu kwa sababu siku zote watu huwa wanapenda kuwa wafuasi wa mtu asie ogopa na alie shinda vita nyingi kama.Makonda.. na sio mtu sijui mwenye PHD blah blah blah.
Kila sehemu anako pita watu wanamuona Makonda kama mtetezi wao au mtatuzi wa shida zao.
Mark my words Makonda atakuja kuwa Rais wa nchi hii ama baada ya Samia au baada ya Rais atakae kuja baada ya Samia.
CREDIT: UKURASA WA INSTAGRAM NA FACE BOOK wa LIKUD WA JAMII FORUMS.
CC: LIKUD
...Tumekusikia CHAWA....1. Ana nyota ya kupendwa na wafalme( viongozi wakuu wa nchi )

...Arudi Kwanza Shule anyooshe Cheti chake....!!1. Ana nyota ya kupendwa na wafalme( viongozi wakuu wa nchi )