Kubali ukatae, Makonda ndio Rais ajae Tanzania baada ya Samia

Labda rais wa misaburi yako!
 
Namubaliana na wewe Tanganyika mtu yoyote anaweza kuwa Rais
 
Naunga mkono hoja.
 
Unajua kimchezo mchezo huyu jamaa anaweza kuja kuchukua nchi na zero ya form four yake? Jamaa anachowashinda wana CCM wenzake ni kujiamini!
 
Unajua kimchezo mchezo huyu jamaa anaweza kuja kuchukua nchi na zero ya form four yake? Jamaa anachowashinda wana CCM wenzake ni kujiamini!
Yes kujiamini ni kitu ambacho watanzania wengi hawana. Wewe hata kama una PHD lakini huiiamini basi PHD yako ni taka taka mbele ya darasa la saba anae jiamini
 
Unajua kimchezo mchezo huyu jamaa anaweza kuja kuchukua nchi na zero ya form four yake? Jamaa anachowashinda wana CCM wenzake ni kujiamini!
Ingekuwa box la kura ndo linaamua nani awe Rais ndo angeupa ila kwavile Kuna kikundi kinacho amua huyo awezi pewa
 
Inawezekana kama mungu kamuandikia,ila itabidi uundwe mfumo imara wa kumdhibiti,maana akiingia sijui kama atatoka
 
Before I pronounce it easly rubbish,naomba alete vyeti vyake vya "fomfo" na atuthibitishie umma kwamba,he goes originally by the name "Daudi Albert Bashite"!🤔
 
...Tumekusikia CHAWA....
 
Kiongozi Bora hakosi hekima,hakosi weledi,hakosi maono,haiigi mambo,huijua nafasi yake.Sijajua kama mpiga filimbi anaviona kwa ndugu yake aliyemtuma kupiga filimbi.
 
PAMOJA NA KWAMBA KWA HII NCHI LOLOTE LINAWEZA KUTOKEA HATA USILODHANI. LAKINI KWA HUYU NIMEKATAA SANA TU
 
...Arudi Kwanza Shule anyooshe Cheti chake....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…