Kubali ukatae, Makonda ndio Rais ajae Tanzania baada ya Samia

Alishindwa ubunge huyo....nafasi zote alizoshika ni za KUBEBWA
labda uraisi uwe wa kuteuliwa....lakini kwa kupigiwa kura ataanguka vibaya mno.


Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
EQ ndio nini?
 
Kwa kuwa Ana elements zote za Magufuli na unajua kilichompata Magufuli sahau la Makonda kuwa Rais labda aanzishe Chama chake

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Mchagueni tu, halafu mrudi kulialia nchi ina mali nyingi lakini bado ipo katika lindi la umasikini, mtafute wachawi wenu ni nani.

Hata miaka mingi ijayo.

You will deserve that.

People get the leadership they deserve.

A million flies can't be wrong. They all eat shit.
 

Baada ya kusoma hili andiko naomba niendelee kuwaambia tena na tena kwamba hii nchi ina watu wajinga sana, kama kungekuwa na komba la Dunia la mashindano ya ujinga, kama taifa tungefuzu kila mara na tusingekuwa na mpinzani katika kulitwaa hilo kombe.
 
Jina lako linasadifu upumbavu wako,Yaan hii nchi tumpe Makonda?
 
Demokrasia itafuata mkondo wake. Sana sana ni vijana wataamua kwa kuwa wapo wengi kimahesabu , na wao ndio wenye mengi ya kupoteza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…