KWELI Kubana pumzi wakati wa tendo la kujamiiana kunamfanya mwanaume achelewe kufika mshindo

Taarifa hii imethibitika kuwa ya kweli baada ya kufanya tathmini ya kina
NDIYO MAANA MNAAAMBIWA MFANYE MAZOEZI NA SIYO KUFUGA MAVITA,BI
 
Sawa
1. Inabidi ifahamike kuwa, round ya kwanza kwa mwanaume huwa inawahi sana, this is nature, so it is normal unless mwanaume awe na shida ktk uume wake kwa kuukomaza na masturbation, hapo anaweza chelewa sababu ule mshipa
mkuu😂
 
Mmewapa vijana code, na hivi shule zimefungwa, tusilaumiane.
 
Wew tafuta pesa ufundi peleka veta nibane pumzi ili nice mapema etiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…