The Spirit of Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 7, 2020
- 1,045
- 1,868
Kwani watanzania hata kuishi wanaishi sasa?Kwani wakikwambia Jehanamu unahisi ni wapi?.
Watanzania tunaishi Jehanamu, hatuishi kwenye nchi inayojali watu wake.
Tupo kwenye nchi ya Mazombi...
Kuna mganga mkuu, mkuu wa wilaya , mkurugenzi, mkuu wa Mkoa halafu eti dereva akatae kutoa ambulance ? Sasa hiyo ni nchi au Utopolo. Haiwezekani dereva kuwa na hayo mamlaka. Lawama zote Kwa viongozi.Dereva wa ambulance gari kaligeuza la kwake sio la wagonjwa
Ambulance zilikuwepo, nimeziona nyingi tu, it's just Ambulance moja inapakia magonjwa mmoja, ili upakie Maiti na majeruhi zaidi ya 40 unahitaji ambulance zaidi ya 40, kuliko ukae tusubirie Ambulance ije iondoke irudi unajiongeza.Majeruhi karibu wote waliokolewa wapatao 40 mpaka sasa kwenye tukio la kuanguka kwa ghorofa mitaa ya Kariakoo jijini Darisalama wamepelekwa hospitali ya Muhimbili wakiwa wamepakiwa kwenye gari za wazi nyuma maarufu kama Pick Up badala ya gari maalum za wagonjwa ambulance
Sasa najiuliza Kariakoo ni karibu kabisa na hospitali ya Amana na Muhimbili na hospitali nyingi tu za binafsi kama Rengency zipo mitaa hiyo kwanini ambulance za hospitali hizo hazikutumika kuja kuchukua majeruhi hao baadala yake wametumia Pickup za polisi na watu binafsi?
Matokeo yake kaja Dkt. Janabi, Mkuu wa Mkoa na Waziri Mkuu na magari ya kifahari aina ya landcruiser V8 ambayo pia hayakutumika kubeba majeruhi hao bali yamepaki yanawasubiri waheshimiwa
Polisi siku zote wanazuia gari za wazi kupakia abiria nyuma kwa sababu za kiusalama pindi ikitokea ajali wataumia sana
Comasava
Hao uliwataja sio madereva wa ambulance, madereva wa ambulance zile gari wamepewa zao wao ndio wanaamua wabebe mgonjwa gani kumpeleka wapi kwa hio hawajaamua kwenda kubeba wagonjwa hapoKuna mganga mkuu, mkuu wa wilaya , mkurugenzi, mkuu wa Mkoa halafu eti dereva akatae kutoa ambulance ? Sasa hiyo ni nchi au Utopolo. Haiwezekani dereva kuwa na hayo mamlaka. Lawama zote Kwa viongozi.
Oya sisi tumewahi kupanda ambulansi na tulikua si chini ya 10 usituchukulie viaziAmbulance zilikuwepo, nimeziona nyingi tu, it's just Ambulance moja inapakia magonjwa mmoja, ili upakie Maiti na majeruhi zaidi ya 40 unahitaji ambulance zaidi ya 40, kuliko ukae tusubirie Ambulance ije iondoke irudi unajiongeza.
Mfano hii
View: https://www.instagram.com/eastafricaradio/reel/DCboojVpfVF/
Nani angetoa agizo la ambulansi Chala?Labda ni kujisahau, mkoa ungetoa tu maelekezo kwenye hizo hospitali kutoa ambulance, ingetekelezeka tu.
UhuniMajeruhi karibu wote waliokolewa wapatao 40 mpaka sasa kwenye tukio la kuanguka kwa ghorofa mitaa ya Kariakoo jijini Darisalama wamepelekwa hospitali ya Muhimbili wakiwa wamepakiwa kwenye gari za wazi nyuma maarufu kama Pick Up badala ya gari maalum za wagonjwa ambulance
Sasa najiuliza Kariakoo ni karibu kabisa na hospitali ya Amana na Muhimbili na hospitali nyingi tu za binafsi kama Rengency zipo mitaa hiyo kwanini ambulance za hospitali hizo hazikutumika kuja kuchukua majeruhi hao baadala yake wametumia Pickup za polisi na watu binafsi?
Matokeo yake kaja Dkt. Janabi, Mkuu wa Mkoa na Waziri Mkuu na magari ya kifahari aina ya landcruiser V8 ambayo pia hayakutumika kubeba majeruhi hao bali yamepaki yanawasubiri waheshimiwa
Polisi siku zote wanazuia gari za wazi kupakia abiria nyuma kwa sababu za kiusalama pindi ikitokea ajali wataumia sana
Comasava
Hao mnawaita viongozi ni wanyama hasa....dunia haina huruma..Majeruhi karibu wote waliokolewa wapatao 40 mpaka sasa kwenye tukio la kuanguka kwa ghorofa mitaa ya Kariakoo jijini Darisalama wamepelekwa hospitali ya Muhimbili wakiwa wamepakiwa kwenye gari za wazi nyuma maarufu kama Pick Up badala ya gari maalum za wagonjwa ambulance
Sasa najiuliza Kariakoo ni karibu kabisa na hospitali ya Amana na Muhimbili na hospitali nyingi tu za binafsi kama Rengency zipo mitaa hiyo kwanini ambulance za hospitali hizo hazikutumika kuja kuchukua majeruhi hao baadala yake wametumia Pickup za polisi na watu binafsi?
Matokeo yake kaja Dkt. Janabi, Mkuu wa Mkoa na Waziri Mkuu na magari ya kifahari aina ya landcruiser V8 ambayo pia hayakutumika kubeba majeruhi hao bali yamepaki yanawasubiri waheshimiwa
Polisi siku zote wanazuia gari za wazi kupakia abiria nyuma kwa sababu za kiusalama pindi ikitokea ajali wataumia sana
Comasava
Kama mkuu wao aliyewateua anaruhusu hivyo vyombo vya Usalama kuteka na kuua raia unahisi atawajali wakiangukiwa na ghorofa?Majeruhi karibu wote waliokolewa wapatao 40 mpaka sasa kwenye tukio la kuanguka kwa ghorofa mitaa ya Kariakoo jijini Darisalama wamepelekwa hospitali ya Muhimbili wakiwa wamepakiwa kwenye gari za wazi nyuma maarufu kama Pick Up badala ya gari maalum za wagonjwa ambulance
Sasa najiuliza Kariakoo ni karibu kabisa na hospitali ya Amana na Muhimbili na hospitali nyingi tu za binafsi kama Rengency zipo mitaa hiyo kwanini ambulance za hospitali hizo hazikutumika kuja kuchukua majeruhi hao baadala yake wametumia Pickup za polisi na watu binafsi?
Matokeo yake kaja Dkt. Janabi, Mkuu wa Mkoa na Waziri Mkuu na magari ya kifahari aina ya landcruiser V8 ambayo pia hayakutumika kubeba majeruhi hao bali yamepaki yanawasubiri waheshimiwa
Polisi siku zote wanazuia gari za wazi kupakia abiria nyuma kwa sababu za kiusalama pindi ikitokea ajali wataumia sana
Comasava
Unaweza pita bila kuchangia bro,sio lazima kuchangia Kila msg au kupinga Kila msg.Wakibebwa na ambulance 🚑 ndio watapona majelaha bila kufika hospital?
All the best
Ishu ya majeruhi hata kama kuna baiskeli unapakiza.Majeruhi karibu wote waliokolewa wapatao 40 mpaka sasa kwenye tukio la kuanguka kwa ghorofa mitaa ya Kariakoo jijini Darisalama wamepelekwa hospitali ya Muhimbili wakiwa wamepakiwa kwenye gari za wazi nyuma maarufu kama Pick Up badala ya gari maalum za wagonjwa ambulance
Sasa najiuliza Kariakoo ni karibu kabisa na hospitali ya Amana na Muhimbili na hospitali nyingi tu za binafsi kama Rengency zipo mitaa hiyo kwanini ambulance za hospitali hizo hazikutumika kuja kuchukua majeruhi hao baadala yake wametumia Pickup za polisi na watu binafsi?
Matokeo yake kaja Dkt. Janabi, Mkuu wa Mkoa na Waziri Mkuu na magari ya kifahari aina ya landcruiser V8 ambayo pia hayakutumika kubeba majeruhi hao bali yamepaki yanawasubiri waheshimiwa
Polisi siku zote wanazuia gari za wazi kupakia abiria nyuma kwa sababu za kiusalama pindi ikitokea ajali wataumia sana
Comasava
Wewe utakuwa hujui nini maana ya gari la kubebea wagonjwa. Siku moja utatakiwa kwenda kujifunza ndani ina vitu gani vya msingi kwa mgonjwa mahututi, au mtu aliyepatwa na ajali kama hiyo!!Wakibebwa na ambulance 🚑 ndio watapona majelaha bila kufika hospital?
All the best
Zinapark wapi mkuu?
Asee kuzaliwa Tz ni laanakum😵😵😠Kwani wakikwambia Jehanamu unahisi ni wapi?.
Watanzania tunaishi Jehanamu, hatuishi kwenye nchi inayojali watu wake.
Tupo kwenye nchi ya Mazombi...
Ni sahihi kabisa. Kama sisi raia tumelala na tunashangalia fedha za magoli ya mpira basi ni haki tuvune tulichopanda.Majeruhi karibu wote waliokolewa wapatao 40 mpaka sasa kwenye tukio la kuanguka kwa ghorofa mitaa ya Kariakoo jijini Darisalama wamepelekwa hospitali ya Muhimbili wakiwa wamepakiwa kwenye gari za wazi nyuma maarufu kama Pick Up badala ya gari maalum za wagonjwa ambulance