Kubeba ujauzito na kupata mtoto hakumfanyi mwanaume akupende

Pamoja na yote hayo kuna ujinga mwingi sana kwenye eneo linaloitwa MAPENZI yaani mtu anadanganywa na anajua kuwa anadanganywa na bado atafanya ya kufanywa na ndio maana kuna vitoto na watu waliozaliwa bila makusudio we are all shit..
 
Atakayepinga hili ni yeye, ila ndio ukweli wenyewe.
 
Pamoja na yote hayo kuna ujinga mwingi sana kwenye eneo linaloitwa MAPENZI yaani mtu anadanganywa na anajua kuwa anadanganywa na bado atafanya ya kufanywa na ndio maana kuna vitoto na watu waliozaliwa bila makusudio we are all shit..

😀😀
 
Ndio maana akatoa uwanja muoe Wake Wengi. Kwa nini useme anakuonea Wakati unauwezo wa kuoa wake hata Mia moja
Mkuu ila kumbukeni hao wafalme na manabii mnaowatumia kama mifano kwenye kuoa wake wengi, baadhi pia waliua watu wengi katika Utawala wao na Mungu akazidi kuwabariki, lakini hakuna sehemu aliposema muue sababu hao nao waliua
 
Ukishakuwa Mfalme au Rais kuua ni Jambo la kawaida Kabisa.
Ilimradi Uue Kwa HAKI.

Hapa tunazungumzia tamaa za Sisi wanaume. Ni Jambo ambalo lipo tuu
 
Ukweli

Ukiona mwanamke amekuruhusu mwanaume umpe ujazito basi huyo anakupenda

Ukiona mwanaume amempa ujazito mwanamke Kuna mawili

1 Either tamaa ya kwenda kavukavu kupata raha

2 Ni mke wake na hivyo ana malengo naye na anampenda.

Kwahiyo wanawake muwe makini Sana huu mchezo wa kutaka kumwagiwa ndani.
 
Akili za Dada zetu wanajua tukiwakodolea tuu macho basi tumewapenda, tukiwatongoza basi wanajua tumeshawapenda. Kumbe😊
 
Ukishakuwa Mfalme au Rais kuua ni Jambo la kawaida Kabisa.
Ilimradi Uue Kwa HAKI.

Hapa tunazungumzia tamaa za Sisi wanaume. Ni Jambo ambalo lipo tuu
Sasa kumbe unajua kuna mambo yanaruhusiwa kufanywa na baadhi ya watu tu na si kila mtu, vivyo hivyo kwenye hilo suala lenu la uzinzi mnapowatolea mifano hao manabii wenu mkumbuke kuwa Mungu aliwaruhusu wao tu na ilikuwa kwa sababu maalum, tena na wenyewe baada ya kufanya hayo wakajikuta wanamkosea wakamchukiza akawapa adhabu hivyo ninyi wengine kaeni tu kwenye maandiko kwamba uzinzi na uasherati ni dhambi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…