Kubeba ujauzito na kupata mtoto hakumfanyi mwanaume akupende

Kubeba ujauzito na kupata mtoto hakumfanyi mwanaume akupende

Ndo iko hivyo sijui kwanini,,,, yani me napenda mtu niende nae taratiiibu ila nikishaanza kumfeel jamani hua nakua kama chizi 😃😃😃,, nikiskia sauti yake tu me nalowana🤣🤣🤣🙈
Unafanyaje mkuu😀😀😀 noma sana aloo
 
Ndo iko hivyo sijui kwanini,,,, yani me napenda mtu niende nae taratiiibu ila nikishaanza kumfeel jamani hua nakua kama chizi 😃😃😃,, nikiskia sauti yake tu me nalowana🤣🤣🤣🙈
Hiyo kwenda naye taratibu huku unampiga vizinga au vepeee? 😝
 
Mnawapendaaa, yaan hadi inatokea unamtongozaa ushampenda, hakuna cha kumtamani wala nn hapa.

Kwa uelewa wako upendo unagawanyika?
Wanaume tunakuwa na Mwanamke mmoja ambaye ndiye tunampenda kindakindaki.
Wengine ni tamaa tuu.
 
ila napo kuzaa na mtu usie mpenda ni uchizi mwingine huo😅😅

Kumla mtu usie mpenda pia ni aina ya uchizi mwingine

Kumvulia nguo mtu usie mpenda ni aina ya wehu pia 😅
Usiyempenda analika vizuri tu muhimu abdala asimame
 
Back
Top Bottom