Kubeti ni kama kudanga tu!

Binafsi nimeshawahi sana kubeti, na nina ujua vyema huo mchezo, ushauri wangu ni kama wadau wengi wanaochangi hii mada
Tafuta mtaji hata kama ni elfu 10, weka odds zisizidi 3, hata ukila elfu tano au elfu 10 kila siku sio haba
Na usibeti ili uendeshe maisha ndio tamaa ya kupata laki 2 kwa buku inapokuja utaumia kila siku.
Na mwisho kabisa, betting ni biashara kama zilivyo zingne,ukiona hiyo biashara imekukutaa tafuta njia zingne, kimombo kidg diversify your source of income, dont depend in one source
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…