Kubeti sio kamari, kamari ni kama vile Tatu Mzuka (sio betting)

1. Mkulima anayekwenda shambani kulima akitegemea mvua ambayo haiko ndani ya uwezo wake anabeti.
2. Mfanya biashara anayenunua maparachichi na nyanya kwa mkulima akitegemea kuuza kwa mteja ambaye hamjui anabeti.

3. Serikali inapopitisha bajeti ya mwaka ujao wa fedha na kupanga matumizi ya fedha ambazo hawajui kama zitapatikana au la inabeti.

4. Mimi ninaposema timu ya Yanga itaifumua timu ya Simba nabeti.

5. Suala la ndoa ni kubeti.

6. Kununua hisa za makampuni na kufanya uwekezaji wowote ule ni kubeti.
.........................
Kamari ni ile wewe unaweka 1000 unategemea kupata mamilioni bila kujua kompyuta inatumia hesabu gani ili kuchagua mshindi. Na kwakuwa hujui basi huna uwezo wa kudai ushindi.

Kwenye betting timu uliyosema kuwa unadhani itashida ikishinda kweli na usipopewa chako unaweza kudai na utalipwa maana kanuni ya kupata mshindi inajulikana.

NB: Nina mpango wa kufungua chama cha kubeti Tanzania (CCKT) na kitatoa fursa za vijana kushirikiana kutoa odds zakibabe na kushiriki kwenye mikutano mbalimbali ya wawekezaji kwenye sekta ya betting ambao pia ni walipakodi walio nyooka.
Yote uliyoyatqja, mwandsmu anaweza kuya control, kama hakuna mvua, unamwagilia, kama hakuna Kodi, unakopa, there is a room for human intervention in order to reach the same results, lakini ukisema yanga itafungwa, hakuna namna unaweza kuingilia matokeo ya kufungwa yanga! You have to wait for the inevitable,
Kamari kubet ni madawa ya kulevya, ni uraibu, mbaya Sana, UKikuingia, utatsfuta namna ya ku regitimize madudu hayo
 
Inakuaje kama Mimi ni kiongozi wa yanga nikawaambia wachezaji wajifungishe nipige hela je hapo sio uhakika maana Mimi ndio bosi wao
 
Ngoja nijaribu kufunga mjadala kwa muktadha wa mleta uzi..., Na kwa muktadha wake umesimamia kwenye neno kamari i.e. Gambling; Sasa nikichukua defition ya Gambling...

Gambling, the betting or staking of something of value, with consciousness of risk and hope of gain, on the outcome of a game, a contest, or an uncertain event whose result may be determined by chance or accident or have an unexpected result by reason of the bettor’s miscalculation.

Na ili tuelewane natumia mfano ambao tangia tunajua kwamba sio Kamari Kilimo: Wewe kama unalipa ukitegemea upate gunia thelasini katika hekari ambayo kwa kawaida huwa inatoa hekari 20 mpaka 28 (busara weka hata hekari 15), ukitegemea kwamba utapata bei ya rejareja wakati wewe unauza jumla na wateja ni wa kutafuta kwa darubini, eneo hilo mvua hazitabiriki alafu unaweza pesa zako za kiinua mgongo hio ni Kamari..., Ila kama unategemea utapata angalau gunia tano kwenye uwezekano wa kupatikana gunia ishirini na masoko ya uhakika yapo na kilo huwa inauzwa Tshs 100/= wewe unapigia hata ikiwa 50/= unapata faida na unacholima pia unaweza kula mwenyewe hio sio kamari...

Tukija kwenye Betting yenyewe ambayo kuna mchezeshaji na mchezaji..., mchezeshaji yeye hachezi kamari bali wewe ndio unacheza kamari yeye mathematically the outcome is known..., kwamba mwisho wa siku utamrudishia alichokopa na faida juu.....

Nikuache na hili andiko

Akili huna inaonesha ushapigwa kwenye betting
 
Hivi Wanaodictate hizi odds ni kina nani na huwa wanatumia mfumo gani kuhakikisha kwamba the house is always favoured?
Ni hesabu tu na wanaweka hizo odds baada kwa kuongeza juice (faida kwao); Mfano ukitupa shilingi inajulikana kabisa outcomes ni mbili (head or tail) kwahio probability ya kushinda tail ni 50 percent au inabidi upewe odds za even; sasa badala ya kukupa odds za even bookies atakupa odds za 1.98 kwahio whatever the outcome yeye ana fair advantage

Ila tukiongolea chimbuko la hizi houses mfano za mpira bookmakers (hapo awali walikuwa wanabalance the books) yaani kwa wanaosema A itashinda na wanaosema B itashinda kwahio theoretically ni kwamba pesa ambazo watakaosema watashinda wakishindwa walipwe waliosema hawatashinda na salio liwe faida ya bookmakers Ndio maana odds zilikuwa zinapanda na kushuka naturally kulingana na pesa nyingi kiasi gani zimewekwa wapi....

Kuna Kampuni zinaitwa Betting Exchanges (kama Betfair) hawa wamerudisha mfumo huo ambapo wachezaji ndio wanaamua kuchagua upande wanaotaka kwahio wanaweza kuweka odds wanazotaka wao wenyewe wanatoa platform pekee kwa ujira wa 0.5 percent ya mshindi atakayeshinda..., hivyo hapa utaona kwamba hakuna House kama pengine (ingawa ipo ina guarantee ya 0.5 percent) na wewe unacheza na hizo odds (ila kwa jambo ambalo ni unpredictable no one can predict it even 90% sasa utaona kwamba na kwa odds zenyewe za favourites za 1.25 au 1.6 au 1.5 kwa uwezekano wa kupatia about 60% utajikuta mwisho wa siku umepokea kipigo
Huwa najiuliza sana kwa sababu hata ukifanya ile wanaita Hedging ambapo unaangalia option mbili tu either A or B then kote kote ukitia mpunga kwa kuzingatia hesabu zilivyo ili usipate loss mwisho wa siku hutapata faida.

Ni mara chache sana huwa wana mess up.... Who are these people!??
Sure-bets, Leverages / Arbitrage n.k. ni mfumo ambao kweli unaweza ukahakikisha theoretically kwamba unashinda sababu unakuwa na uhakika wa kupata faida hata kabla game halijaanza (kwahio theoretically hii itakuwa sio kamari) Ila kiuhalisia hii kitu ina risk... Kwanini ?

Moja faida ni ndogo sana kwahio inabidi utumie pesa nyingi sana ili kupata faida kidogo..., just imagine umepata sehemu mbili alafu umeweka mpunga sehemu ya kwanza ili urudi ya pili ufanye hedging unakuta odds zimebadilika au wanakataa kuchukua full mpunga au wanachukua nusu mpunga (hapo unajikuta haupo covered) hence unakuwa umecheza kamari kwamba odds zitabakia zilivyo wakati wewe unaweka mpunga wako...
 
Yaani ulichoandika hakina tofauti na jina lako
 
Akili huna
Kujua kwangu kwamba sina akili ndiko kunakonifanya niwe Wiser kuliko wewe unayedhani unajua hence kutokujifunza na kubakia na ujinga wako.... I am the Wisest Man alive.., For I know that I know Nothing....
inaonesha ushapigwa kwenye betting
Sababu I know the outcomes and that the odds are not on my favor I never gamble....; Ingawa kwa unachoandika inawezekana I know more kuliko hata wewe kuhusu hii industry.... Kutokea kwenye Matched Betting, Surebets, Cross Market Arbitrage n.k. Ila nimeenda mbele zaidi nikagundua hata hizo ambazo theoretically zinafanya kazi in the long run hazifanyi hata Bookmaker wako akigundua kwamba labda unatumia bonuses na dutching ili kupata faida mwisho wa siku akaunti yako inaweza ikawa freezed na pesa yako isitoke...

Hence ukitaka ku make money kwenye betting either kuwa bookmaker au wauzie watu odds au andika kitabu jinsi ya kutajirika na betting uza au gawa bure (ukigawa bure weka links za kutosha za affiliates)
 
Kujua kwangu kwamba sina akili ndiko kunakonifanya niwe Wiser kuliko wewe unayedhani unajua hence kutokujifunza na kubakia na ujinga wako.... I am the Wisest Man alive.., For I know that I know Nothing....

Sababu I know the outcomes and that the odds are not on my favor I never gamble....; Ingawa kwa unachoandika inawezekana I know more kuliko hata wewe kuhusu hii industry.... Kutokea kwenye Matched Betting, Surebets, Cross Market Arbitrage n.k. Ila nimeenda mbele zaidi nikagundua hata hizo ambazo theoretically zinafanya kazi in the long run hazifanyi hata Bookmaker wako akigundua kwamba labda unatumia bonuses na dutching ili kupata faida mwisho wa siku akaunti yako inaweza ikawa freezed na pesa yako isitoke...

Hence ukitaka ku make money kwenye betting either kuwa bookmaker au wauzie watu odds au andika kitabu jinsi ya kutajirika na betting uza au gawa bure (ukigawa bure weka links za kutoka za affiliates)
Huna akili full stop
 
We jamaa nimesoma post zako zote. Uko sahihi.
 
Hata viatu, unaweza vinunua ukitegemea utauza lakini usiuze. Ni biashara. Biashara inaongozwa na misingi ya demand and Supply. Betting si biashara, haiongozwi na misingi ya demand and supply.

HALAFU, UNAPOAMUA KUFANYA JAMBO NJE YA MISINGI YA IMANI(MAANA NAJUA WENGI HAPA NI IMANI ZA DINI KUKATAZA KAMARI NDO INALETA SHIDA) WEWE FANYA UTATUBU.

KUNA MAFISADI, KUNA WEZI, KUNA WAZINZI,WABAKAJI. MTU KUCHEZA KAMARI UNATESEEEEEEKA KUTAFUTA UHALALI. BETTING NI KAMARI.
Tatizo watu wanapenda kuambiwa lile linalofurahisha nafsi zao ila deep down wanajua kuwa kibeti ni kamari. Na ina addiction mbaya sana tofauti na biashara. Gambling addict ni sawa na teja wa heroine au cocaine tofauti yao ni kwamba huyu yupo addicted na kupoteza pesa na huyu mwingine yupo addicted kwa kutumia unga
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hamna uhalali wowote akili huna yaani umuumize mwenzio Kwa Bei tofauti useme dini inasema hivyo acha uongo mzee huo ni wizi pia haiwezekani ununue 2500 halafu uuze 3000 zaidi umemtapeli mwenzio hivyo kiufupi hamna kitu halali ni sawa na kamari tu
Huo mchele hukuitia tu chumbani kwako ila utakuta umefanya kazi na kutumia muda wa kwenda ifakara mashambani kununua, ku-upack, kuusafirisha mpk kufika Dar hivyo huwezi kuuza kwa bei sawa na ya ifakara wakati ilishafanya kazi na kupoteza muda..ukiuuza sh 3000 unakuwa umepata faida ya sh 500 kama malipo ya kazi na muda ulioutumia kuutoa mchele ifakara kuja Dar
 
Tatizo watu wanapenda kuambiwa lile linalofurahisha nafsi zao ila deep down wanajua kuwa kibeti ni kamari. Na ina addiction mbaya sana tofauti na biashara. Gambling addict ni sawa na teja wa heroine au cocaine tofauti yao ni kwamba huyu yupo addicted na kupoteza pesa na huyu mwingine yupo addicted kwa kutumia unga
Kabisa mkuu, upo sahihi sana.
 
Back
Top Bottom