Kuchamba kwa kutumia maji kunachangia sana kuenea kwa magonjwa

Tatizo ni mnapenda kunyakunya kila sehemu...
Kama ni dharura, hakikisha unatumia, karatasi au toilet paper halafu tumia maji ....sio unapiga misele na bahasha ya kaki hujia matumizi yake ya dharura....
Zaidi ya hapo, bana mavi yako kama mwendazake alivyosema ukanyee nyumbani na kuoga kabisa....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wanachamba kwa maji toka enzi za yesu na hawakuwa na UTI Wala vidonda vya tumbo
Enzi gani za Yesu watu walikuwa wanachamba kwa maji? Ishu ya kutumia maji ni ya juzijuzi tu kutoka kwa wahindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…