Kigugumiza
JF-Expert Member
- Mar 7, 2022
- 508
- 687
Hapana wanakuwa wananuka mikojo na kinyesi,sababu ukikojoa tu inabidi uoshe tupu yako ya mbele na hata unapojamba,inabidi uoshe tupu yako ya nyumaIle harufu ni wengi wanakuwa hawajanawa vizuri mikono. Wamepakapaka tu vimaji na sabuni.