mbari sa menya
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,002
- 1,891
Kivuzi kata ma#vitissue sio tatizo .
tatizo ni kivuzi mk*Ndu. kinabaki na cheji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivuzi kata ma#vitissue sio tatizo .
tatizo ni kivuzi mk*Ndu. kinabaki na cheji
Coment za mitaro zinakuvurugu single boy.Comment kama hizi zinanipa taabu sana single boy usiku huu
Hili suala la ujio wa vyoo vya maji ni hatari sana kwa Afya za watz. Kunasababisha magonjwa mengi sana. Elimu itolewe.
1.UTI: UTI nyingi husababiswa na kuhamisha wadudu wa kwenye kinyesi kuwapeleka njia ya mkojo. Wanawake ni wahanga sana. Ni kazi kwao kuepuka hili hasa wanapotumia maji.
2. Vidonda vya tumbo. Siku hizi mijini kumejaa wagonjwa wa vidonda vya tumbo. Hapa ni waandaaji wa chakula wasiojisafisha vizuri ndiyo husambaza. Vidonda vya tumbo ni ugonjwa wa watu wachafu na wa aibu. Huko vijijini ambako watu wanafuata desturi za muafika hili tatizo siyo kubwa.
3. Typhoid, Amiba nk nk. Kama vidonda vya tumbo. Mtu hajajisafisha fresh halafu anaenda kukata kachumbari nk. Ni kusambaza magonjwa ambayo zamani ilikuwa nadra sana. Tena serikali iangalie sana hili suala la kachumbari na chachandu. Vidonda vya tumbo, typhoid, kuharisha na magonjwa mengine ya kichafu huanzia hapa.
Ni bora turudi kwenye desturi zetu. Haya mambo ya kuigaiga ni hatari.
ahahahaaaaa!!!,usiniambie"kwa ivo papaa mukulu weye unachambia nyasi nini!!!!.......anyway,sasa tusipochambia maji si tutanuka mbolea jamaa!!!!!Hili suala la ujio wa vyoo vya maji ni hatari sana kwa Afya za watz. Kunasababisha magonjwa mengi sana. Elimu itolewe.
1.UTI: UTI nyingi husababiswa na kuhamisha wadudu wa kwenye kinyesi kuwapeleka njia ya mkojo. Wanawake ni wahanga sana. Ni kazi kwao kuepuka hili hasa wanapotumia maji.
2. Vidonda vya tumbo. Siku hizi mijini kumejaa wagonjwa wa vidonda vya tumbo. Hapa ni waandaaji wa chakula wasiojisafisha vizuri ndiyo husambaza. Vidonda vya tumbo ni ugonjwa wa watu wachafu na wa aibu. Huko vijijini ambako watu wanafuata desturi za muafika hili tatizo siyo kubwa.
3. Typhoid, Amiba nk nk. Kama vidonda vya tumbo. Mtu hajajisafisha fresh halafu anaenda kukata kachumbari nk. Ni kusambaza magonjwa ambayo zamani ilikuwa nadra sana. Tena serikali iangalie sana hili suala la kachumbari na chachandu. Vidonda vya tumbo, typhoid, kuharisha na magonjwa mengine ya kichafu huanzia hapa.
Ni bora turudi kwenye desturi zetu. Haya mambo ya kuigaiga ni hatari.
Sasa tutafanyaje mkuu, huku mjini magunzi utapata wapi.
Hapana anataka wa mjini msugue makalio chini kwenye mchanga (kuswesweta [emoji3][emoji3] wenye kabila lao watanielewa)Sasa tutafanyaje mkuu, huku mjini magunzi utapata wapi.
babu tunapata supu hapa acha mambo yako kwanza !!Hili suala la ujio wa vyoo vya maji ni hatari sana kwa Afya za watz. Kunasababisha magonjwa mengi sana. Elimu itolewe.
1.UTI: UTI nyingi husababiswa na kuhamisha wadudu wa kwenye kinyesi kuwapeleka njia ya mkojo. Wanawake ni wahanga sana. Ni kazi kwao kuepuka hili hasa wanapotumia maji.
2. Vidonda vya tumbo. Siku hizi mijini kumejaa wagonjwa wa vidonda vya tumbo. Hapa ni waandaaji wa chakula wasiojisafisha vizuri ndiyo husambaza. Vidonda vya tumbo ni ugonjwa wa watu wachafu na wa aibu. Huko vijijini ambako watu wanafuata desturi za muafika hili tatizo siyo kubwa.
3. Typhoid, Amiba nk nk. Kama vidonda vya tumbo. Mtu hajajisafisha fresh halafu anaenda kukata kachumbari nk. Ni kusambaza magonjwa ambayo zamani ilikuwa nadra sana. Tena serikali iangalie sana hili suala la kachumbari na chachandu. Vidonda vya tumbo, typhoid, kuharisha na magonjwa mengine ya kichafu huanzia hapa.
Ni bora turudi kwenye desturi zetu. Haya mambo ya kuigaiga ni hatari.
Na vidonda vya tumbo. Wengine wanafikiri ni sifa kuwa na vidonda vya tumbo.UTI ni ugonjwa wa aibu haifai hata kumwambia mtu utakuta mdada akipata uti full matangazo,,huo ugonjwa unatokana nakutojisafisha vizuri umeanzia kujisafisha nyuma ukahamia mbele baada yakuanzia mbele kwenda nyuma nakukaa na pedi muda mrefu,,sawa na kuharisha tu,ukiharisha jua ulikula mavi!!!
😀😀 zamani sana around 96 tulikuwa tuna swesweta koko beach sikuizi haiwezekani tena mkuu mambo yamekuwa mengi.Hapana anataka wa mjini msugue makalio chini kwenye mchanga (kuswesweta [emoji3][emoji3] wenye kabila lao watanielewa)
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Sasa tutafanyaje mkuu, huku mjini magunzi utapata wapi.
Tayari ushaingiza udini ewe mgalatia.Wasomi??? Angalau wasomi.Kuna wale wa dini ya kiarabu.