Kuchamba kwa kutumia maji kunachangia sana kuenea kwa magonjwa

Kuchamba kwa kutumia maji kunachangia sana kuenea kwa magonjwa

Tatizo ni mnapenda kunyakunya kila sehemu...
Kama ni dharura, hakikisha unatumia, karatasi au toilet paper halafu tumia maji ....sio unapiga misele na bahasha ya kaki hujia matumizi yake ya dharura....
Zaidi ya hapo, bana mavi yako kama mwendazake alivyosema ukanyee nyumbani na kuoga kabisa....
kubana mavi kuna athari kiafya
 
Tayari ushaingiza udini ewe mgalatia.

Waarabu=ustaarabu

Waarabu ndio wameleta ustaarabu huku, wewe mmatumbi ulikua hujui hata kujisafisha kutumia maji, leo hii umejua kutumia maji na kunawa mikono + sabuni halafu unawasema waarabu/waislamu!!



Eti wasomi 😁 wasomi gani hao hata kujisafisha hawajui badala yake wanatumia makaratasi kujifutia, sikiliza mkuu, kusoma sio kustaarabika, unaweza ukawa msomi na madegree 1000 lakini ukawa bado mjinga/sio mstaarabu.

All in All Uislamu umemaliza kila kitu.
Imesimuliwa Abu Huraira: Nilimfuata Mtume wakati alikuwa anaenda kujisaidia. Alikuwa haangalii kushoto wala kulia. Kwa hivyo, nilipokaribia karibu naye aliniambia, "Nitafutie mawe ili nisafishie sehemu zangu za siri(au alisema kitu kinachofanana), na usilete mfupa au kipande cha dung." Basi nikaleta mawe katika kona ya vazi langu na kuziweka kando yake kisha nikamwacha. Alipomaliza (kutoka kusaidia) aliitumia mawe kujisafisha. (Sahih Bukhari 1: 4: 157)
 
Hapana wanakuwa wananuka mikojo na kinyesi,sababu ukikojoa tu inabidi uoshe tupu yako ya mbele na hata unapojamba,inabidi uoshe tupu yako ya nyuma
dah umeniongezea kazi kumbe ukijamba yatakiwa utawaze tena doh huu usafi si ajabu taulo lako halichafukagi mwenzetu
 
Sasa tutafanyaje mkuu, huku mjini magunzi utapata wapi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nimecheka kwa sauti, ha ha ha inabidi kuweka order ya magunzi kwa wachoma mahindi sasa tatizo wengi wananunua nakuondoka na mahindi yao![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tutumie tishu,ni buku jero tu Mangi. Ukimaliza nawa mikono kwa kutumia maji safi tililika pamoja na sabuni
Nyumba ya watu 6-8? Hizo tissue zitakuwa ngapi kuna watu wanapata choo×3 kwa siku [emoji23][emoji23][emoji23] kwa maisha yakawida haya haya labda!
 
Hebu chukulia mfano kila unapoenda njooni unajifuta na tishu,unategemea uchafu wote utatoka?ndiyo maana gari au basi abiri wakishatoka kuchimba dawa hewa huwa inabadirika inakuwa nzito hii sababu wengi hawanawi wanabaki na mikojo pamoja na vinyesi
Hili nikweli si uongo, halafu mtu ananunua mhindi anamkatia mwenzie , mie siri bora ninunue soda na biscuit basi!
 
Hii habari ya kuchamba kwa maji tumeiga wahindi, na wanajulikana kwa uchafu. Niliona wachina wakiwaponda wahindi uchafu sababu wanatumia maji na mikono. Nao wahindi wanawaponda wachina kwa kutumia tishu.
Ila wachina hawali kama sisi [emoji3][emoji3][emoji3] jenga vyoo viwili m'bongo na mchina baada ya wiki kagua chanani kinatoa uvundo!
 
Bustani tutapata wapi watu wengine tunaishi store [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muda ukifika unaenda kuchuma kwenye bustani ya majani [emoji23][emoji23][emoji23]
 
offcourse, might be......but its the good culture to comply with..... we normally take the good thing, otherwise you have to prove is not right thing.....

Please prove to me, cleaning the cork with water is not right and peeing without cleaning is right....
Normally, Any man should shake the pen*** after peeing to remove the urine that left but not to clean it with water.

By the way we don't need to copy everything even though it's not lousy to clean the pen*** with water Sir.
 
Peptic ulcers disease haina mahusiano ya moja kwa moja na uchafu

Maradhi haya yanahusishwa zaidi na tabia kama
Uvutaji sigara
Msongo wa mawazo
Genetiki za urithi
Muda mwingine kukaa na njaa
HPylori wanaambukizwaje? Na kukaa na njaa au msongo wa mawazo havisababishi peptic ulcers.
 
Hili suala la ujio wa vyoo vya maji ni hatari sana kwa Afya za watz. Kunasababisha magonjwa mengi sana. Elimu itolewe.

1.UTI: UTI nyingi husababiswa na kuhamisha wadudu wa kwenye kinyesi kuwapeleka njia ya mkojo. Wanawake ni wahanga sana. Ni kazi kwao kuepuka hili hasa wanapotumia maji.

2. Vidonda vya tumbo. Siku hizi mijini kumejaa wagonjwa wa vidonda vya tumbo. Hapa ni waandaaji wa chakula wasiojisafisha vizuri ndiyo husambaza. Vidonda vya tumbo ni ugonjwa wa watu wachafu na wa aibu. Huko vijijini ambako watu wanafuata desturi za muafika hili tatizo siyo kubwa.

3. Typhoid, Amiba nk nk. Kama vidonda vya tumbo. Mtu hajajisafisha fresh halafu anaenda kukata kachumbari nk. Ni kusambaza magonjwa ambayo zamani ilikuwa nadra sana. Tena serikali iangalie sana hili suala la kachumbari na chachandu. Vidonda vya tumbo, typhoid, kuharisha na magonjwa mengine ya kichafu huanzia hapa.

Ni bora turudi kwenye desturi zetu. Haya mambo ya kuigaiga ni hatari.
Dah mada nyingine naona ata Aibu kuchangia
 
Sasa tutafanyaje mkuu, huku mjini magunzi utapata wapi.
Haha hata yale majani ya kuwasha huku mjini nayo hayapo,bila kutumia maji naona bado natembea na mavi, huyu bwana anatuletea mambo ya wazungu ambao wao wanatumia tissue hawachambi na ndio maana ukikaa karibu na mzungu utasikia kaharufu ka mavi kwa mbali.
 
Haha hata yale majani ya kuwasha huku mjini nayo hayapo,bila kutumia maji naona bado natembea na mavi, huyu bwana anatuletea mambo ya wazungu ambao wao wanatumia tissue hawachambi na ndio maana ukikaa karibu na mzungu utasikia kaharufu ka mavi kwa mbali.
Wananuka ubeberu
 
Normally, Any man should shake the pen*** after peeing to remove the urine that left but not to clean it with water.

By the way we don't need to copy everything even though it's not lousy to clean the pen*** with water Sir.

shaking your cork disparse some dropes to your body, and clothes.... so, no any escape of dirties to you....

I told you to mention any effect of cleaning the cork with water.....myself, i copied that because its safe and prove for proper cleaning....

I tried so many times shaking my cork but i use to see some dropes disparsed into me, when you tried to open and squeze the hole of your cork after shaking you will see some remained drops...which will come and stick to your clothes/boxer...
 
Back
Top Bottom