Anko Bantu
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 832
- 1,034
Kwa hiyo bora wanaojisaidia mtoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii huwa inanipa shida sana ngoja leo ninunue toilet paperToilet paper ndiyo njia salama. M* vi ni m*vi tu hata kama ni ya kwako, kushika uchafu huo moja kwa moja ni shida!!
Mavudhi!!!..usingesema kuchambua kwa maji kunaleta vidonda vya tumbo...mkoloni katukuta tunachamba kwa maji,nimeisikia uti 2007 tu hapo...vidonda vya tumbo vimeenea Tanzania 1997-99..kutokana na shida ya maji,siku hizi mnakulana denda Sana ndiyo mnaambukizanaWakati watu tuko hapa tangu askari anavaa kaptura
Halafu sijui anataka kutufundisha nini
Problem solvedAnza tupu ya mbele, kisha ndio ufate nyuma, baada ya hapo nawa kwa sabuni, kisha kausha mikono vizuri.
Kujifuta na karatasi ni kujipakaza uchafu
[emoji38][emoji38][emoji38]Sasa tutafanyaje mkuu, huku mjini magunzi utapata wapi.
Sasa kidole kimoja utaweka je majiTatizo mwenyewe wewe mreta maada hujui kuchamba,ngoja tukufundishe leo,Unapochamba utaosha kwanza tupu yako ya mbele halafu ifuate tupu ya nyuma,pili tunachamba kwa kutumia kidole kimoja cha mkono wa kushoto sio kiganja cha mkono,na baada ya kuchamba inabidi unawe maji mikono yote
tafuta pesa utaacha kutedeka kuning'iniza kalioKuna yale mavyoo ya kukaa siyapendi mtu na afya zako unaenda kukaa kwenye sinki kama mtoto anaenyea pot ni uzembe tu.Ukisasa unachangia kutulemaza kiasi fulani.
Hili suala la ujio wa vyoo vya maji ni hatari sana kwa Afya za watz. Kunasababisha magonjwa mengi sana. Elimu itolewe.
1.UTI: UTI nyingi husababiswa na kuhamisha wadudu wa kwenye kinyesi kuwapeleka njia ya mkojo. Wanawake ni wahanga sana. Ni kazi kwao kuepuka hili hasa wanapotumia maji.
2. Vidonda vya tumbo. Siku hizi mijini kumejaa wagonjwa wa vidonda vya tumbo. Hapa ni waandaaji wa chakula wasiojisafisha vizuri ndiyo husambaza. Vidonda vya tumbo ni ugonjwa wa watu wachafu na wa aibu. Huko vijijini ambako watu wanafuata desturi za muafika hili tatizo siyo kubwa.
3. Typhoid, Amiba nk nk. Kama vidonda vya tumbo. Mtu hajajisafisha fresh halafu anaenda kukata kachumbari nk. Ni kusambaza magonjwa ambayo zamani ilikuwa nadra sana. Tena serikali iangalie sana hili suala la kachumbari na chachandu. Vidonda vya tumbo, typhoid, kuharisha na magonjwa mengine ya kichafu huanzia hapa.
Ni bora turudi kwenye desturi zetu. Haya mambo ya kuigaiga ni hatari.
Ninyi tumieni vitu vyenye ncha kaliKwahiyo sisi ammbao hatutumii maji wala tissue mnatusaidiadje
[emoji106], Umesahau Tu Kulihusisha Neno Sabuni Kwenye Maelezo Yako Hapo Mwisho.Tatizo mwenyewe wewe mreta maada hujui kuchamba,ngoja tukufundishe leo,Unapochamba utaosha kwanza tupu yako ya mbele halafu ifuate tupu ya nyuma,pili tunachamba kwa kutumia kidole kimoja cha mkono wa kushoto sio kiganja cha mkono,na baada ya kuchamba inabidi unawe maji mikono yote
Zaidi ya asilimia 90 ya wagonjwa wa vidonda vya tumbo ni sababu ya H. pylori. Na bacteria huyu huenezwa kwa njia ya kinyesi.Mleta uzi umeongea vzr Sana nakuunga mkono elimu zaidi itolewe kwa jamii juu ya matumizi sahihi ya vyoo vya maji Ila umepotosha juu ya vidonda vya tumbo kwani sio muhanga wa ugonjwa huu ni mchafu au kala uchafu, unawafanya Watu wajione wanyonge kuumwa ugonjwa Huu wakati visababishi vya ugonjwa huu Ni vingi fikiria kuhusu uzalishaji kupita kiasi wa Tindikali tumboni? Usiwafanye Watu wajione wanyonge na aibu wkt sababu Ni nyingi
Anza tupu ya mbele, kisha ndio ufate nyuma, baada ya hapo nawa kwa sabuni, kisha kausha mikono vizuri.
Kujifuta na karatasi ni kujipakaza uchafu
Hebu chukulia mfano kila unapoenda njooni unajifuta na tishu,unategemea uchafu wote utatoka?ndiyo maana gari au basi abiri wakishatoka kuchimba dawa hewa huwa inabadirika inakuwa nzito hii sababu wengi hawanawi wanabaki na mikojo pamoja na vinyesi
Ahsanteni kwa kumpa muongozo.
Kama hayo magonjwa yangekuwa yanaambulizwa namna hiyo ningekuwa nishaambukizwa zamani sana.
Hili suala la ujio wa vyoo vya maji ni hatari sana kwa Afya za watz. Kunasababisha magonjwa mengi sana. Elimu itolewe.
1.UTI: UTI nyingi husababiswa na kuhamisha wadudu wa kwenye kinyesi kuwapeleka njia ya mkojo. Wanawake ni wahanga sana. Ni kazi kwao kuepuka hili hasa wanapotumia maji.
2. Vidonda vya tumbo. Siku hizi mijini kumejaa wagonjwa wa vidonda vya tumbo. Hapa ni waandaaji wa chakula wasiojisafisha vizuri ndiyo husambaza. Vidonda vya tumbo ni ugonjwa wa watu wachafu na wa aibu. Huko vijijini ambako watu wanafuata desturi za muafika hili tatizo siyo kubwa.
3. Typhoid, Amiba nk nk. Kama vidonda vya tumbo. Mtu hajajisafisha fresh halafu anaenda kukata kachumbari nk. Ni kusambaza magonjwa ambayo zamani ilikuwa nadra sana. Tena serikali iangalie sana hili suala la kachumbari na chachandu. Vidonda vya tumbo, typhoid, kuharisha na magonjwa mengine ya kichafu huanzia hapa.
Ni bora turudi kwenye desturi zetu. Haya mambo ya kuigaiga ni hatari.
Nilikuwa nawaza peke yangu kumbe na wewe mkuu umeliona hili. Subiri wasomi waje na hoja zao.
Tutumie tishu,ni buku jero tu Mangi. Ukimaliza nawa mikono kwa kutumia maji safi tililika pamoja na sabuni
Hatimaye wazoefu wa kujisaidia vichakani mmepata vya kusapoti tabia zenuWasomi??? Angalau wasomi.Kuna wale wa dini ya kiarabu.