Kuchamba kwa kutumia maji kunachangia sana kuenea kwa magonjwa

HPylori wanaambukizwaje? Na kukaa na njaa au msongo wa mawazo havisababishi peptic ulcers.
Kwa kua umeshindwa kuelewa nilikua naongelea associated factors/ risk factors za PUD basi nakuachia hapo nkiianza seems this topic isn't for you
 
Kwa kua umeshindwa kuelewa nilikua naongelea associated factors/ risk factors za PUD basi nakuachia hapo nkiianza seems this topic isn't for you
Ungerudi darasani kijana. Msongo wa mawazo haujawahi kuwa risk factor ya vidonda vya tumbo. Ni uelewa mbaya wa neno stress.
 
Na ukiosha kwa maji drop za ndani zinatoka?
 
Ukiwa msafi ,unachamba kwa kutumia mikono.Unajisafisha vizuri Sana.Tena ndani ya maji unayotumia weka kwanza sabuni ya unga.Jisafishe Kabisa.Ukimaliza tumia maji na sabuni ,kunawa mikono yako yote miwili.Kama ni choo Cha kushea ,ukitoka nje.Nawa Tena na sabuni.Ukitumia tissue bado utakuwa na uchafu kwenye utupu wako.
 
Duh! Naona dunia inaenda kasi vijana wamechangamka kwelikweli!

Serious mtu anapigania kuyadis maji katika swala zima la usafi wa uchi (tupu). Sasa si ardhi itakuwa haikaliki kwa hizo ng'e!!? Kisamvu tupu kwenye nguo wallahi
 
Duh! Naona dunia inaenda kasi vijana wamechangamka kwelikweli!

Serious mtu anapigania kuyadis maji katika swala zima la usafi wa uchi (tupu). Sasa si ardhi itakuwa haikaliki kwa hizo ng'e!!? Kisamvu tupu kwenye nguo wallahi
 
Naongezea ,ukitoka chooni kabla ya kushika kitu chochote unapaswa unawe kwa kutumia maji na sabuni nyingi tu kama kama ile kujihami na Corona!!
 
Basi dawa ni kuvaa gloves tu,ukimaliza kuchamba na maji unavua gloves kisha unanawa mikono yako.
 
Hapo umebwabwaja au umeshauri?

Hebu tueleze wewe binafsi kwanza, unapoenda kujisaidia haja ndogo ama kubwa huwa unachamba kwa kutumia nini?

Uweke wazi tuipime hoja!

Hivi kuna kuchamba ukajisafisha zaidi ya kutumia maji safi na salama?

Kuchambia majani, mabunzi, tissue, ama kushenenta kwenye udongo nk nk, utasema umejisafisha kutakasika na kuwa msafi baada ya kujisaidia?

Hii imekaaje hii!

Ukiisha kutoa ufafanuzi juu ya mada yako hii, ndiyo nami nitakapotoa mhadhara wa namna na njia salama ya kuchambia maji safi na salama kulivyo na faida mara elfu, kuliko kutumia toilet paper ama "kushenenta" kwa kusota kwenye udongo!
 
Yaani kuchamba kwa maji kuhamishe wadudu kutoka kwenye mavi kwenda njia ya haja ndogo kuliko kuchamba kwa makaratasi...wazazi wako walitupa ada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…