Kuchanganyikiwa na kutokuwa na akili kwa wanaojiita wanaharakati

Wanaharakati wameajiriwa na Open Society, wanalipwa wafanye uchochezi.

Na hiyo kampuni ya Open Society inapataje faida pakiwa na uchochezi ??

Kwa hoja dhaifu na za ki zinjanthropus kama hizo, mnawezaje kushawishi umma ???????

Ndo maana Maria Sarungi na Mange Kimbambi wanawapeleka puta serikali yote, polisi, jeshi, bunge, Ikulu, Usalama.... Hoja za kina Mange zina resonate na watu.
 
Ofisi ya Mkurugenzi wa mashtaka ipo huru kwamujibu wa katiba
Je Madam president alitumia katiba ipi kumuagiza mkurugenzi wa mashitaka kuwafutia kesi wale vijana.
Kama anaweza kuagiza kesi zifutwe basi pia anaweza kuagiza mtu afunguliwe mashitaka.
 
Watetezi wa maccm mitandaoni wameishiwa hoja hawana cha kuandika wanajiandikia hovyo wapate posho
 
Ofisi ya Mkurugenzi wa mashtaka ipo huru kwamujibu wa katiba
Je Madam president alitumia katiba ipi kumuagiza mkurugenzi wa mashitaka kuwafutia kesi wale vijana.
Kama anaweza kuagiza kesi zifutwe basi pia anaweza kuagiza mtu afunguliwe mashitaka.
Mahakamaccm ni chawa wa ccm majajiccm hawafanyi kazi kwa mujibu wa sheria bali hufanya kazi kwa mujibu wa Amri haramu za kishetani toka kwa maccm
 
Yaani ww akili yako huna tofauti na nguruwe wa kule Tukuyu, yaani u support watu kuuawa eti tukuache hivo hivo ni mawazo yako independent sio lazima uwaze kama sisi...

aisee peleka mk..ndu huko kwenu suala la haki ya kuishi tutakulazimisha uwaze kama sisi
 
Mnapenda sana kutisha yaani ingekuwa vitisho watu wanakufa wote sijuhi nani angesalimika.

Nyie mnaokula jasho la walalahoi kwa kupiga deki vinyesi vya watawala ndo mnaowatesa hao wenzenu, ona mama yenu alivyo sahivi. Mawazo tele hajuhi afanye lipi aache lipi. Lakini mkiona kutishana ndo salama yenu endeleeni lakini msisahau damu ya mliowaua iko juu ya vichwa vyenu na hamtaweza kuikimbia hata mwende wapi na itawaondoa duniani.
 
We mzee unatengeneza tatizo mwenyewe halafu unalitatua mwenyewe .
#OUTDATED TACTIC
 
Freedom fighter standing on a mountain in a foreign country... trying to send a message to his people, back in the ghetto
 

..Mama Samia alikosea kukubali ushauri wa kutotekeleza falsafa ya 4R.

..Kama angetekeleza 4R uchaguzi ungekuwa huru na vurugu na mauaji yangeepukwa.
 
HUKU SASA NI KUCHANGANYIKIWA NA KUTOKUWA NA AKILI KWA WANAOJIITA WANAHARAKATI...
Sijui ndiyo bandiko lako la kwanza baada ya turmoil?

Hata kutupa pole kwa majeruhi, tuliofiwa, na kwa Ndugu zetu waliotangulia mbele za haki umeshindwa.? Ndiyo umeanza kufoka foka tu?
 
Wewe msenge si mtu wa kuigwa hata na vichaa
 
Ritz hata hiki unachofanya kinaonyesha na wewe ni 'mwanaharakati' ni vile upo mwingine.
 
Kwa nini wewe ni mpumbavu hivi?
 
Propaganda zenu na ile account ya Mlawa kuonyesha uharibifu wa mali imegonga mwamba eh?

Maana video za mauaji kila siku zinaibuka mpya na ni nyingi kuliko video anazopost Mlawa ambazo anarudia.

Umechomewa Lake Oil sasa awamu ijayo wanaweza kukuchoma wewe kabisa.
 
What a load of gibberish from shameless certified asslicking simpleton.
Wewe Uma( in mama amina' s voice) unahisi ukiandika medieval English tutakuona ndo msomi? Kwani ukiandika Kiswahili marinda yako yatarudi?
 
rpetrators na plotter wa machafuko haya hawataki watu waachiwe kwa kuwa watakosa kazi ya kufanya na kulipwa
Nyakati kama hizi watu kama wewe mnahangaika sana; lakini haisaidii kitu. Samia na Kikwete watalinywa tu safari hii.
Sijasoma takataka hiyo ndefu uliyo jaza humo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…