#COVID19 Kuchanja sasa kuwe lazima, hasa wafanyakazi serikalini. Chanja au achia ngazi

Endeleeni kubisha mnasahau kuwa kule Ikulu, Ofisi nzima ilipukutika!
Sasa usiniulize walichanja au la!
 
Kama umechanjwa ili kuzuia ugonjwa, kw anini unaogopa asiyechanjwa?
Sasa hiyo chanjo inakinga nini?
Hapo ndipo mlipopigwa na mkaingia laini.
Baada ya hapo wataanza kusema wanaodondoka ni wale waSIOchanjwa kumbe ni waLIOchanjwa.
Hicho ndicho kinachoendelea ulaya na marekani.
 
Han pope alichanja...
 
Nyie wenye vichwa vigumu kuelewa mna shida sana.
Ndio mliopasi mitihani baada kuibia na kuhonga mpate mitihani toka kwa walimu fiksi.

Siyo rahisi kwenu kuelewa kuwa CHANJO SIYO DAWA Y TIBA, NI KINGA!
Na hata hiyo kinga si 100% bali ukipata chanjo uwezekano wa kulazwa na kula oksijeni hospitalini unakuwa mdogo.
Inabidi tuwaelimishe maana vichwa vyenu havina uwezo kufikiri.
Unakoongelea Marekani na Ulaya wanaolazwa kwa wingi NI WALE WASIOACHANJWA kwa asilimia 99%.
Na wanokufa hata baada ya kuchanja ni 0.01%-na hii ni kutokana na magonjwa mengine tu.

Sijui mkuu we kabila gani nikujulishe kukwenu, pengine utaelewa.
 
Endeleeni kubisha mnasahau kuwa kule Ikulu, Ofisi nzima ilipukutika!
Sasa usiniulize walichanja au la!
nimekueleza kwa watu wenye akili huwa wanawaza.

hawa watu walikuwa wanaishi na familia zao, eti ugonjwa ukaingia ukapukutisha watu muhimu tu lakini siyo familia zao walizokuwa wakiishi nazo. huoni hapo kuna jambo la kuawa wewe?

tu fikirie kuna mtu mmoja alipata ugonjwa, alafu akawaambukiza wengine wa ofisini tu lakini majumbani kwao hawakuambukizwa.

kwa mwenye fikra atajiuliza mambo mengi, acheni kukalili nyie ngozi nyeusi
 
Wamfahamu yule bilionea wa mabasi Kilimanjaro
Wamfahamu Keenja?
Wamfahamu Dr Mwakyusa?
Nyie vichwa vigumu mpaka yawapate.
 
Mkuu hata ungenieleza kwa lugha zote, sitaelewa. Kuna ushauri wa bure toka kwa huyu baba kwako. Anasema STAND YOUR GROUND - kama bado hujaenda. Kama umeshaenda hilo ni suala jingine.
Your browser is not able to display this video.
 
Sie wapumbavu tusha chanja.
Werevu kama ninyi mtadondoka mmoja mmoja, subiri tu zamu yako.
Haya mambo kawaambie mafala wenzio....eti kudondoka hahaha naona unaombea sana na haitokei....
Vipi umeshabustiwa ewe kilaza
 
Mkuu hongera sana kwa jicho linaloona between the lines.
 
Unfortunately:-
1) Vaccines do not gurantee 100% protection from re-infection (but) raher minimizes incidences of worsening effects that may prompt
hospitalization, Oxygen administration e.t.c. that's why there have been widely reported cases of escalating rate of infections despite
massive vaccination in some countries.

2) Hence even if vaccinated you still need to take necessary precautions and protective measures including wearing a MASK e.t.c


So there is no need of making vaccination against COVID-19 becoming mandatory in belief/as a way of combat infection/re-infection rates.
 
Umeanza CHOKO CHOKO Zako

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Wajinga zaidi yako ni wale waliokwisha fariki kwa covid.
Na wewe kubwa lao omba tu uipate.
Been vaccinated with jab doesn't make you immortal , pathetic idiot.
Perhaps now you have started to express the short term adverse effects of it.
Take care of yourself
Umenena vyema Sana Mkuu.
Yaani mtu akichanja tu .anaanza kuforce na wengine wachanje😃😃
Wacha sisi tuwe control trials za wale unvaccinated kwa hii cross section Al study vya 10years
 
Kachanje wewe halafu uache wasio chanja wapate funzo kwa kutochanja kwao. Kwani ukichanja si hautopata corona? Sasa mwenzio asipochanjwa wewe wasiwasi wako nini?
 
Labda ndo side effect mojawapo..kulazimisha wengine😀😂
 
Mbona maukimwi hamlazimishi watu kupima waacheni wafanyakazi kwanza hata mishahara na vyeo hamjawahi kuwaongezea leo hii mnatokwa povu ooh wachanjwe, acheni zenu yaaki wafanyakazi wa bongo wana shida sana
 
Wewe kinachokuwasha washa ni nini au unataka kufumuliwa marinda! Wamarekani ni wao sisi ni wabongo kama unawashwa nenda kaishi nao hao wamarekani wako, sisi tuache na bongo yetu na hatuchanji, msenge wee.
Nakupa taarifa sasa kwenye taasisi ninayofanyia kazi tupo watu zaidi ya 1200 sehemu moja na hakuna anayetaka kuchanja na hatuvai barakoa wala kunawa
Wametuwekea matanki ya kunawa kila sehemu na hakuna anayehangaika nayo, mwazoni kwenye geti waliweka masheria hakuna kuingia hadi uwe umevaa barakoa, wakawazuia watu kesho yake mwendo ule ule, barakoa ni kama Gatepass.
Barakoa zinavaliwa na wakuu wa idara nao wamepiga mkwara weee watu wavae barakoa lakini wapina wao siku hizi wala hawavai hadi aje mgeni mwenye cheo kikubwa huko serikalini.
Mtapata tabu sana hata mtunyime mishahara hatuchanji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…