Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Haha, Halafu nini kiandikishwe?Ndoa zifutwe.
Tujiandikishe tu kupiga kura 😹Haha, Halafu nini kiandikishwe?
Hata huyo wa 35 awez kuachwa?Kijana akiwai kuo kwenye umri kuanzia 20 mpaka 25. Akiachana na huyo mwanamke hua ngumu Sana kuoa Tena atabaki kuwa single tu na kugegeda papuchi mbalimbali. Unajua kwa nini Alichokutana nacho huko hataki hatakusikia maswala ya ndoa. Ila Alie oa kuanzia 35 na kuendelea wataishi muda mrefu kidogo baadhi mpaka wata tenganishwa na vifo.
😄😄😄😄 alafu ukichek age mate.Kuna watu tunatamani tufunge ndoa mapema kabisa...
Ila unakutana na mdada wa hovyo anakwambia ""wewe mtoto tulia kwanza, tafuta watoto wenzako""
Sasa ndo nini kauli kama hizi et
Nilisikia ukioa huo umri wa chini ya miaka 25 ni sawa na kuondoka club saa tano usikuKijana akiwai kuo kwenye umri kuanzia 20 mpaka 25. Akiachana na huyo mwanamke hua ngumu Sana kuoa Tena atabaki kuwa single tu na kugegeda papuchi mbalimbali. Unajua kwa nini Alichokutana nacho huko hataki hatakusikia maswala ya ndoa. Ila Alie oa kuanzia 35 na kuendelea wataishi muda mrefu kidogo baadhi mpaka wata tenganishwa na vifo.
Kuna watu hovyo sana mkuu wee acha tuu..🙏🙏🙏😄😄😄😄 alafu ukichek age mate.
Kabisa mkuu Wala ujakosea ndiyo maana bola uoe kidogo kuanzia 35 si vizuri kuwai kuoa.Nilisikia ukioa huo umri wa chini ya miaka 25 ni sawa na kuondoka club saa tano usiku
Mwanmke ni mwanamkeHao sio wa afu mbili, hii ni generation nyingine sio ya hiyo mishangazi
Aoe wa Rika lake na sio hawa kausha damuKijana akiwai kuo kwenye umri kuanzia 20 mpaka 25. Akiachana na huyo mwanamke hua ngumu Sana kuoa Tena atabaki kuwa single tu na kugegeda papuchi mbalimbali. Unajua kwa nini Alichokutana nacho huko hataki hatakusikia maswala ya ndoa. Ila Alie oa kuanzia 35 na kuendelea wataishi muda mrefu kidogo baadhi mpaka wata tenganishwa na vifo.
Duh!Nilisikia ukioa huo umri wa chini ya miaka 25 ni sawa na kuondoka club saa tano usiku
Hii imeenda 😂😂😂Zamani ulikua unakuta baba mmoja ana watoto wanne.
Skuizi unakuta baba wanne wana mtoto mmoja....🤣labda ndio mabadiliko ya tabia ya nchi...teh😜
Ukiwa mwanaume sahihi huwezi kukosea kuoa.Unaweza ukawa mwanaume kamili na ukakosea kuoa ukaoa mke asiye sahihi akaleta laana kwenye maisha yako