Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Kuna watu tunatamani tufunge ndoa mapema kabisa...
Ila unakutana na mdada wa hovyo anakwambia ""wewe mtoto tulia kwanza, tafuta watoto wenzako""
Sasa ndo nini kauli kama hizi et
Ila unakutana na mdada wa hovyo anakwambia ""wewe mtoto tulia kwanza, tafuta watoto wenzako""
Sasa ndo nini kauli kama hizi et