Kuchelewa kuoa haimaanishi utaoa mtu sahihi. Vijana fungeni ndoa mapema hata mkishindwana mnaanza upya

Kijana akiwai kuo kwenye umri kuanzia 20 mpaka 25. Akiachana na huyo mwanamke hua ngumu Sana kuoa Tena atabaki kuwa single tu na kugegeda papuchi mbalimbali. Unajua kwa nini Alichokutana nacho huko hataki hatakusikia maswala ya ndoa. Ila Alie oa kuanzia 35 na kuendelea wataishi muda mrefu kidogo baadhi mpaka wata tenganishwa na vifo.
Hata huyo wa 35 awez kuachwa?
 
Nilisikia ukioa huo umri wa chini ya miaka 25 ni sawa na kuondoka club saa tano usiku
 
Aisee,kuoa siku hizi ni kamari ngumu sana,hata yule anayecheza Aviator kwa stake ya 10 million ana nafuu kuliko yule anayejaribu kuoa,this generation is wicked!
 
Kijana akiwai kuo kwenye umri kuanzia 20 mpaka 25. Akiachana na huyo mwanamke hua ngumu Sana kuoa Tena atabaki kuwa single tu na kugegeda papuchi mbalimbali. Unajua kwa nini Alichokutana nacho huko hataki hatakusikia maswala ya ndoa. Ila Alie oa kuanzia 35 na kuendelea wataishi muda mrefu kidogo baadhi mpaka wata tenganishwa na vifo.
Aoe wa Rika lake na sio hawa kausha damu
 
Back
Top Bottom